Msururu wa wapenzi wa zamani kabla ya ndoa unachangia sana uchepukaji baada ya ndoa

66KV

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
2,610
Maisha bhana.

Yaani sometimes unaweza kuta unajaza lori ma ex si kwa kupenda unakuta binti yuko na msimamo wake safi kabisa ana yake jamaa mmoja wanachuja nafaka kisela kabla ya kuoana jamaa akichoka anaachia ngazi anakuja na mwingine na mwingine nk hiiyo yote ni katika harakati za kumsaka mr right kiroho safi kabisa wala sio kwa hulka ya umalaya hapana.

Unajaribu bahati yako unawaonjesha kidogo waone yaliyomo bila kujua the more idadi ya hao jamaa inaongezeka unaanza kudevelop adaptive features unachukulia kwamba ndo maisha yalivyo inakuwa sio ishu tena kulala na huyu na yule wala dhamira haikusuti as ushaiua kitambo indirectly unalegalize mchezo wa kuswitch mapartners una misprit kibao uko connected nayo sexually(i mean ma ex)haya sasa umepata mume wa ligi daraja la tatu kunako 6*6.

Historia yako ya nyuma inaonyesha umecheza ligi kubwakubwa la liga premier na the like jamaa kakupenda sawa ila tatizo ndo hilo yeye na wew hamko ligi moja halafu badi una mawasiliano direct au indirect(globalization) na ma ex ambao wako ligi moja na wewe hapo ndo kuchapiwa kunakuwa siri ya ndani hii hata kwa wanaume inaaplly the more unaonjaonja wanawake tofauttofaut the more thirsty you become una mke mzurr but bado unabisha hodi kwenye maboma yako ya zamani ndoa chali.
 
akiba haiozi tangia la kwanza walikua wananikaririsha
 
Mambo ya uchumba wa miaka 5 ndio tatizo huku tunagegedana, tatizo tumekulia katika mazingira ya ndoa mpaka ngono ifanyike, ndio maana unakuta watu wapo kwenye mahusiano miaka 2 ukiwauliza ndoa lini wanakuambia wanachunguzana. Ngono inachukuliwa ni kitu cha kawaida tu kiasi kwamba tunajiachia tu alafu mwisho wa siku tunapigana chini unakuja unaibuka na mwingine.
 
Mazoe hujenga tabia siku zote. Ukizoea kuwa na zaidi ya mmoja kabla ya ndoa, hata ukija kuoa/kuolewa bado utaendeleza tu.
 
Waliosema usifanye ngono mpaka ukiwa kwenye ndoa (ili ufurahie tendo la ndoa) hawakukosea. Athari zipo za moja kwa moja ingawa tumekuwa wakaidi kuukubali ukweli.
 
Kwa kipindi hiki mambo ya kuuziana mbuzi kwenye gunia yana athari zaidi ya hilo
 
Maisha bhana.

Yaani sometimes unaweza kuta unajaza lori ma ex si kwa kupenda unakuta binti yuko na msimamo wake safi kabisa ana yake jamaa mmoja wanachuja nafaka kisela kabla ya kuoana jamaa akichoka anaachia ngazi anakuja na mwingine na mwingine nk hiiyo yote ni katika harakati za kumsaka mr right kiroho safi kabisa wala sio kwa hulka ya umalaya hapana.

Unajaribu bahati yako unawaonjesha kidogo waone yaliyomo bila kujua the more idadi ya hao jamaa inaongezeka unaanza kudevelop adaptive features unachukulia kwamba ndo maisha yalivyo inakuwa sio ishu tena kulala na huyu na yule wala dhamira haikusuti as ushaiua kitambo indirectly unalegalize mchezo wa kuswitch mapartners una misprit kibao uko connected nayo sexually(i mean ma ex)haya sasa umepata mume wa ligi daraja la tatu kunako 6*6.

Historia yako ya nyuma inaonyesha umecheza ligi kubwakubwa la liga premier na the like jamaa kakupenda sawa ila tatizo ndo hilo yeye na wew hamko ligi moja halafu badi una mawasiliano direct au indirect(globalization) na ma ex ambao wako ligi moja na wewe hapo ndo kuchapiwa kunakuwa siri ya ndani hii hata kwa wanaume inaaplly the more unaonjaonja wanawake tofauttofaut the more thirsty you become una mke mzurr but bado unabisha hodi kwenye maboma yako ya zamani ndoa chali.

Ndio ubinadamu wa zama hizi.
 
Back
Top Bottom