Msusi ananuka...


Aisee sio rahisi kama unavyofikiria....umwambie mtu ananuka? Na wamama wasusi hawa wanakuwaga na midomo kama nini...atakwambia kantangazeee...japo anaweza asikujibu hapohapo. Mi nadhani hum ndani inawezekana wamo wasusi..itawasaidia kujichunguza...na wengine ndugu zao wasusi mfano mimi....ntaenda kumwambia sistaangu kwamba ajitahidi hilo eneo asiwakere wateja
 
a.rahabu soma hapa.
 
Last edited by a moderator:
nimesoma mkuu ila sio kija mwana mke anakubali kosa akiambiwa.tena yule ni mke wa m2 inamana had saa6 ile hajui wajibu wake mwanamke staha ya usafi bwana
 
sasa unafikiri kwa kuja kumwanika hapa jukwaani ndo umemsaidia au?hujui kuwa unajidhalilisha wewe pia kwa kuwa wewe pia ni mwanamke?ni sawa na mwanamke akikaa uchi amedhailisha wanawake wote kwani wote wako hivyo.
nimesoma mkuu ila sio kija mwana mke anakubali kosa akiambiwa.tena yule ni mke wa m2 inamana had saa6 ile hajui wajibu wake mwanamke staha ya usafi bwana
 
we Blue G unajua hili ni jukwaa kuna baadhi pia wako humu wana vijitabia hivyo unavyo tuma hivi nichance hata ya kuwabadilisha wengine
 
Last edited by a moderator:
Umwambie? Utajikuta umesukwa kama godzilla.
 
mhh uje kule kwa wakubwa nikuelezee nisije nkachafua hali ya hewa hapa..maana ntashindwa tumia tafsida

wanataka maneno chukuchuku ili kupewe Ban ziczo rasmi
 
we nae mvumilivu loh..... mimi nisingeweza ningejifanya mmmh kuna kitu kinanuka hapa mbona angejiongeza tu....
 
we Bulldog unataka kujua kuhusu utoko asubuhi ukimaka na mkeo/mpenzio kabla hajaenda kuoga au kunawa tia kidole kwenye papuch yake kile utakacho toka nacho huko ndo utoko

Hizi ni siri zetu hutakiwi kusema hapa bwanaa unatuanika uchiiiii usirudie
 
Last edited by a moderator:

Angeyasema haya mwanaume, ingekuwa nongwa!

Imagine ndo unaenda kugegenda unakutana na stimu ya aina hiyo! Asumani hawezi kusimama kamwe!

Hongera kwa kuweka uwazi ili wahusika wajirekebishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…