Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mi nashindwa kuelewa.
Yule ni mwanamke mwenzio.
Umechukua hatua gani za kumuelimisha kuhusu usafi wake wa ndani badala ya kuja kumuanika humu.
Mimi nina dada yangu, hatoi harufu but hana uwezo wa kusikia harufu.
So am imagining labda hajijui kama ana harufu na ungeweza kumsaidia.
Afadhali ungeuliza namna ya kumueleza kuhusu hali hiyo kuliko kuja kumsema in such a way that disgusts people and does not help things.
Women please!
Aisee sio rahisi kama unavyofikiria....umwambie mtu ananuka? Na wamama wasusi hawa wanakuwaga na midomo kama nini...atakwambia kantangazeee...japo anaweza asikujibu hapohapo. Mi nadhani hum ndani inawezekana wamo wasusi..itawasaidia kujichunguza...na wengine ndugu zao wasusi mfano mimi....ntaenda kumwambia sistaangu kwamba ajitahidi hilo eneo asiwakere wateja