Msuva afanya kufuru michuano ya CAF apiga hatrick na kutoa assist 6

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Klabu ya Difaa el jadidi ya nchini morocco Jana walicheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya CAF dhidi ya klabu ya sport bissau Benfica ya nchini Guine na klabu ya Difaa kushinda kwa idadi ya magoli 10-0 huku Simon Msuva akipiga hatrick na kutoa pasi za mabao nikimaaanisha assist 6 hivyo msuva amehusika kwenye magoli 9 kati ya 10 walioshinda.

Wakati huo huo klabu ya zamani ya Msuva ,Dar young Africa imejikongoja kwa kupata ushindi mwembamba wa bao 1 kwa bila dhidi ya vibonde wa usheli sheli

31f2e5d331e1a67c32c703520178ee68.jpg
 
Kazi nzuri sana naona ni mchezaji muhim pia kwenye tim aendelee na bidii hiyo hiyo
 
Sijui Yanga walikubalije kuachia hii mashine. Angekuwepo zarau tunazozipata leo kutoka kwa wahenga wa mkia fs zisingekuwepo tungekuwa kileleni kwa tofauti kubwa ya magoli. Tangu aondoke spidi ambayo ilikuwa ndio nguzo kuu ya mafanikio ya yanga imeisha, mastaika wanapiga nje na kupaisha mpira wanapokkaribia kipa na hawana mbinu za kupenyeza kwenye ngome ya adui
 
Ni Hela tu! Hamna Hela Ya Kuweza Kumbakisha Jangwani Wakati Waarabu Wanahela Ya Kununua Yanga Yote na Washabiki Wake.
 
Sijui Yanga walikubalije kuachia hii mashine. Angekuwepo zarau tunazozipata leo kutoka kwa wahenga wa mkia fs zisingekuwepo tungekuwa kileleni kwa tofauti kubwa ya magoli. Tangu aondoke spidi ambayo ilikuwa ndio nguzo kuu ya mafanikio ya yanga imeisha, mastaika wanapiga nje na kupaisha mpira wanapokkaribia kipa na hawana mbinu za kupenyeza kwenye ngome ya adui

hizi ndyo roho mbaya zilizosababisha mmbanie ngasa alipotakiwa norway ...wabinafsi mnawaza furaha yenu bila kujali future ya mchezaji
 
Mrudisheni Jery Muro mtapata mafanikuo.
 
furaha isipite kipimo kubebwa kwa namna hiyo sio kuzuri
 
hizi ndyo roho mbaya zilizosababisha mmbanie ngasa alipotakiwa norway ...wabinafsi mnawaza furaha yenu bila kujali future ya mchezaji
Ngassa hajawahi kubaniwa hata siku moja Yanga. Amefanya majaribio kibao ulaya lakini kaumbile chake ndio kilimfanya akose ajira huko kwa kumwona kama mtoto au mtu mzima aliyedumaa na kuna baadhi ya nchi ziliamua kumpenda jinsi alivyo lakini akiwaza ku miss totoz za bongo alikuwa anaenda na kugeuka fasta
 
Mrudisheni Jery Muro mtapata mafanikuo.
Hilo linamsingi mkubwa kwani soka la bongo sii wachezaji wazuri, kocha mzuri na fedha tuu bali lazima kuwepo na mtu wa "PROPAGANDA" Muro kipaindi chake alifanya yanga ikawa kila saa inatajwa tajwa na ikawa kwenye pick kila sehemu. Aliweza kurushiana maneno vilivyo na kumshinda msemaji wa sasa wa mkia FS ambaye hana mpinzani kwa sasa na hivyo vita vya ki propaganda zilileta matokeo mazuri uwanjani kitu ambacho hakipo kwa sasa Yanga
 
Ngassa hajawahi kubaniwa hata siku moja Yanga. Amefanya majaribio kibao ulaya lakini kaumbile chake ndio kilimfanya akose ajira huko kwa kumwona kama mtoto au mtu mzima aliyedumaa na kuna baadhi ya nchi ziliamua kumpenda jinsi alivyo lakini akiwaza ku miss totoz za bongo alikuwa anaenda na kugeuka fasta

acha uongo ngassa alitakiwa na klabu ya lovham kwa ada ya dollar 60000 yanga wakakataa wakawapa ofa ya kuwakomoa ya dollar 200000 wazungu wakaghairi...mwisho wa siku aliondoka bure kwenda azam
 
Back
Top Bottom