py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Klabu ya Difaa el jadidi ya nchini morocco Jana walicheza mechi yao ya kwanza ya michuano ya CAF dhidi ya klabu ya sport bissau Benfica ya nchini Guine na klabu ya Difaa kushinda kwa idadi ya magoli 10-0 huku Simon Msuva akipiga hatrick na kutoa pasi za mabao nikimaaanisha assist 6 hivyo msuva amehusika kwenye magoli 9 kati ya 10 walioshinda.
Wakati huo huo klabu ya zamani ya Msuva ,Dar young Africa imejikongoja kwa kupata ushindi mwembamba wa bao 1 kwa bila dhidi ya vibonde wa usheli sheli
Wakati huo huo klabu ya zamani ya Msuva ,Dar young Africa imejikongoja kwa kupata ushindi mwembamba wa bao 1 kwa bila dhidi ya vibonde wa usheli sheli