Sijui Yanga walikubalije kuachia hii mashine. Angekuwepo zarau tunazozipata leo kutoka kwa wahenga wa mkia fs zisingekuwepo tungekuwa kileleni kwa tofauti kubwa ya magoli. Tangu aondoke spidi ambayo ilikuwa ndio nguzo kuu ya mafanikio ya yanga imeisha, mastaika wanapiga nje na kupaisha mpira wanapokkaribia kipa na hawana mbinu za kupenyeza kwenye ngome ya adui
HehehheNi Hela tu! Hamna Hela Ya Kuweza Kumbakisha Jangwani Wakati Waarabu Wanahela Ya Kununua Yanga Yote na Washabiki Wake.
Sijui Yanga walikubalije kuachia hii mashine. Angekuwepo zarau tunazozipata leo kutoka kwa wahenga wa mkia fs zisingekuwepo tungekuwa kileleni kwa tofauti kubwa ya magoli. Tangu aondoke spidi ambayo ilikuwa ndio nguzo kuu ya mafanikio ya yanga imeisha, mastaika wanapiga nje na kupaisha mpira wanapokkaribia kipa na hawana mbinu za kupenyeza kwenye ngome ya adui
Mrudisheni Jery Muro mtapata mafanikuo.Sijui Yanga walikubalije kuachia hii mashine. Angekuwepo zarau tunazozipata leo kutoka kwa wahenga wa mkia fs zisingekuwepo tungekuwa kileleni kwa tofauti kubwa ya magoli. Tangu aondoke spidi ambayo ilikuwa ndio nguzo kuu ya mafanikio ya yanga imeisha, mastaika wanapiga nje na kupaisha mpira wanapokkaribia kipa na hawana mbinu za kupenyeza kwenye ngome ya adui
Ngassa hajawahi kubaniwa hata siku moja Yanga. Amefanya majaribio kibao ulaya lakini kaumbile chake ndio kilimfanya akose ajira huko kwa kumwona kama mtoto au mtu mzima aliyedumaa na kuna baadhi ya nchi ziliamua kumpenda jinsi alivyo lakini akiwaza ku miss totoz za bongo alikuwa anaenda na kugeuka fastahizi ndyo roho mbaya zilizosababisha mmbanie ngasa alipotakiwa norway ...wabinafsi mnawaza furaha yenu bila kujali future ya mchezaji
Hilo linamsingi mkubwa kwani soka la bongo sii wachezaji wazuri, kocha mzuri na fedha tuu bali lazima kuwepo na mtu wa "PROPAGANDA" Muro kipaindi chake alifanya yanga ikawa kila saa inatajwa tajwa na ikawa kwenye pick kila sehemu. Aliweza kurushiana maneno vilivyo na kumshinda msemaji wa sasa wa mkia FS ambaye hana mpinzani kwa sasa na hivyo vita vya ki propaganda zilileta matokeo mazuri uwanjani kitu ambacho hakipo kwa sasa YangaMrudisheni Jery Muro mtapata mafanikuo.
Ngassa hajawahi kubaniwa hata siku moja Yanga. Amefanya majaribio kibao ulaya lakini kaumbile chake ndio kilimfanya akose ajira huko kwa kumwona kama mtoto au mtu mzima aliyedumaa na kuna baadhi ya nchi ziliamua kumpenda jinsi alivyo lakini akiwaza ku miss totoz za bongo alikuwa anaenda na kugeuka fasta
Siamini kama Msuva ameiva namna hii, yaan kila goli ni lazima atajwe, kahusika moja kwa moja na magoli karibu yote kasoro moja, aisee..!!DHJ 10-0 Bissau Benfica Resumé