Haya Msuva ni mzembe na hatuwezi kumtetea! Tuje sasa kwenye ile hoja ya Mheshimiwa Hamisi Kigwangala, kuhusu zile bilioni zetu 20.Msuva hatuwezi mtetea uzembe kafanya mwenyewe unasaini vipi kitu hukijui? Ashukuru sheria zimemtetea mbele ya safari, huyo dada nae aseme nini kilitokea
Mwenzako ana 1.6B wewe ujanja wako unakusadia nini?Me yanga lia lia ila ukweli ni kwamba msuva popoma,, unasain vp kitu hukielewi?
Yaan pamoja na kuishi huko Morocco akicheza difaa el jadida kwa miaka hakujifunza lugha? Yaan mcheza Pro unaenda kusain mikataba bila mwanasheria!! Unapewa mikaratasi una sign tu kipopoma alafu unakuja kujiliza liza hapa umeonewa!!
Huyu msuva ni mjinga, alipoenda kucheza nje kwa mara ya kwanza nilimuona ana akili sana kumbe nilikua najidanganya ni popoma.. hivi mchezaji wa kulipwa miaka yote huna mwanasheria unajiendea tu kienyej kusign mikataba duh
Mbona hata nyinyi ni mapopoma tu! Mkiulizwa bilioni 20 ziko wapi, mnaishia tu kutoa mapovu! Leo hii mnaingia mkataba na M-Bet halafu t-shirt za wachezaji zimetolewa nembo ya sportpesa, na kuandikwa juu M-Bet!
Mkataba ni kiasi gani, na utadumu kwa miaka mingapi! Hamjui! Yaani Mo na Barbara wanawageuza tu kama chapati!
Vuta subira. Muda utaongea. Wasipotekeleza ahadi zao kwa vitendo, nao tutakuja tu kuwaumbua humu jukwaani.Tuoneshe uwanja wa jisiem aliojenga huko kigamboni
Kigwa alinyimwa bodaboda mshamba yuleHaya Msuva ni mzembe na hatuwezi kumtetea! Tuje sasa kwenye ile hoja ya Mheshimiwa Hamisi Kigwangala, kuhusu zile bilioni zetu 20.
Nenda ofisi za simba utapata majibuMbona hata nyinyi ni mapopoma tu! Mkiulizwa bilioni 20 ziko wapi, mnaishia tu kutoa mapovu! Leo hii mnaingia mkataba na M-Bet halafu t-shirt za wachezaji zimetolewa nembo ya sportpesa, na kuandikwa juu M-Bet!
Mkataba ni kiasi gani, na utadumu kwa miaka mingapi! Hamjui! Yaani Mo na Barbara wanawageuza tu kama chapati!
Alishatrma ndoano unataka nini tenaHaya Msuva ni mzembe na hatuwezi kumtetea! Tuje sasa kwenye ile hoja ya Mheshimiwa Hamisi Kigwangala, kuhusu zile bilioni zetu 20.
Msuva kasema hatocheza ligi ya nyumbn anataka changamoto mpyaLakini Msuva si amesajiliwa Yanga? Angeachana nao tu[emoji16]
akili hunaHii ni habari ya upande mmoja..
Wabongo tatizo elimu ndogo, mtu anasaini mkataba bila kutumia mwanasheria halafu analalamika umeandikwa kwa kifaransa, sasa ulitaka wakuandikie kwa kiswahili wakati ndio official language ya nchi ya Morocco.?
Wewe Msuva ulitakiwa kutumia Agent kwenye kunegotiate benefits zako hapo Wydad. Matokeo yake kifaransa hujui ila ukaenda wewe mwenyewe, makaratasi ya kusaini umepewa huelewi kitu.
Mbona wacongo wengi wanacheza Morocco hatujasikia huo upuuzi unaosema?
Kipaji bila elimu ni bure kabisa. Uache kuchafua Waarabu kwa ujinga wako mwenyewe, idiot..
Wabongo elimu muhimu kwenye kila kitu la sivyo mtalizwa sana kwa ujinga wenu. Leo nimesoma thread humu kuna dada wa miaka 23 "kaliza" watu wazima ambao hata kuagiza bidhaa China hawawezi wanataka waagiziwe, yaani ni ujinga ujinga tu hii nchi..