Msuva, Gaucho yawakuta 'mazito' Morocco, waonya

Msuva, Gaucho yawakuta 'mazito' Morocco, waonya

Msuva hatuwezi mtetea uzembe kafanya mwenyewe unasaini vipi kitu hukijui? Ashukuru sheria zimemtetea mbele ya safari, huyo dada nae aseme nini kilitokea
 
Msuva hatuwezi mtetea uzembe kafanya mwenyewe unasaini vipi kitu hukijui? Ashukuru sheria zimemtetea mbele ya safari, huyo dada nae aseme nini kilitokea
Haya Msuva ni mzembe na hatuwezi kumtetea! Tuje sasa kwenye ile hoja ya Mheshimiwa Hamisi Kigwangala, kuhusu zile bilioni zetu 20.
 
Waarabu waduwanzi na ndio maana wakipelekewa mitume mingi kuwaweka sawa, lakini wapi, hapa muarabu, hapa muisraeli, mitume ilikoma 😂
 
Mbona wa congo wananunuliwa sana na timu za morocco mfano ben malango alietoka Tp Mazembe alikuwa analipwa hela nyingi kuliko wote pale raja cassablanca. Na kacheza vizuri morrocco na akauzwa tena kwenda majuu na hao hao raja cassablanca
 
Itasikitisha sana, endapo hizi taarifa zitakua na ukweli...
 
Me yanga lia lia ila ukweli ni kwamba msuva popoma,, unasain vp kitu hukielewi?

Yaan pamoja na kuishi huko Morocco akicheza difaa el jadida kwa miaka hakujifunza lugha? Yaan mcheza Pro unaenda kusain mikataba bila mwanasheria!! Unapewa mikaratasi una sign tu kipopoma alafu unakuja kujiliza liza hapa umeonewa!!

Huyu msuva ni mjinga, alipoenda kucheza nje kwa mara ya kwanza nilimuona ana akili sana kumbe nilikua najidanganya ni popoma.. hivi mchezaji wa kulipwa miaka yote huna mwanasheria unajiendea tu kienyej kusign mikataba duh
 
Mwenzako ana 1.6B wewe ujanja wako unakusadia nini?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Tuoneshe uwanja wa jisiem aliojenga huko kigamboni
Mbona hata nyinyi ni mapopoma tu! Mkiulizwa bilioni 20 ziko wapi, mnaishia tu kutoa mapovu! Leo hii mnaingia mkataba na M-Bet halafu t-shirt za wachezaji zimetolewa nembo ya sportpesa, na kuandikwa juu M-Bet!

Mkataba ni kiasi gani, na utadumu kwa miaka mingapi! Hamjui! Yaani Mo na Barbara wanawageuza tu kama chapati!
 
Lakini Msuva si amesajiliwa Yanga? Angeachana nao tu[emoji16]
 
Mbona hata nyinyi ni mapopoma tu! Mkiulizwa bilioni 20 ziko wapi, mnaishia tu kutoa mapovu! Leo hii mnaingia mkataba na M-Bet halafu t-shirt za wachezaji zimetolewa nembo ya sportpesa, na kuandikwa juu M-Bet!

Mkataba ni kiasi gani, na utadumu kwa miaka mingapi! Hamjui! Yaani Mo na Barbara wanawageuza tu kama chapati!
Nenda ofisi za simba utapata majibu
Mwenzako Kigwa kalia lia kapigiwa simu moja katuliza ndevu zake chini
Humu hatutokupa majibu zàidi tutazidi kukubwekesha kama mbwa wa Luc Eymael
 
Morocco sio waarabu ila wanazungumza lugha ya kiarabu
 
Haya Msuva ni mzembe na hatuwezi kumtetea! Tuje sasa kwenye ile hoja ya Mheshimiwa Hamisi Kigwangala, kuhusu zile bilioni zetu 20.
Alishatrma ndoano unataka nini tena

Mbona hamulizi kwanini uto kila 35k ya jezi mnapata 1300?
 
Hii ni habari ya upande mmoja..
Wabongo tatizo elimu ndogo, mtu anasaini mkataba bila kutumia mwanasheria halafu analalamika umeandikwa kwa kifaransa, sasa ulitaka wakuandikie kwa kiswahili wakati ndio official language ya nchi ya Morocco.?
Wewe Msuva ulitakiwa kutumia Agent kwenye kunegotiate benefits zako hapo Wydad. Matokeo yake kifaransa hujui ila ukaenda wewe mwenyewe, makaratasi ya kusaini umepewa huelewi kitu.
Mbona wacongo wengi wanacheza Morocco hatujasikia huo upuuzi unaosema?
Kipaji bila elimu ni bure kabisa. Uache kuchafua Waarabu kwa ujinga wako mwenyewe, idiot..
Wabongo elimu muhimu kwenye kila kitu la sivyo mtalizwa sana kwa ujinga wenu. Leo nimesoma thread humu kuna dada wa miaka 23 "kaliza" watu wazima ambao hata kuagiza bidhaa China hawawezi wanataka waagiziwe, yaani ni ujinga ujinga tu hii nchi..
akili huna
 
Back
Top Bottom