Msuva, Gaucho yawakuta 'mazito' Morocco, waonya

Msuva, Gaucho yawakuta 'mazito' Morocco, waonya

Mtu anaitwa Yasmin Razack anasema waarabu hawana utu mm ni nani nimpinge?
 
Hii ni habari ya upande mmoja..

Wabongo tatizo elimu ndogo, mtu anasaini mkataba bila kutumia mwanasheria halafu analalamika umeandikwa kwa kifaransa, sasa ulitaka wakuandikie kwa kiswahili wakati ndio official language ya nchi ya Morocco?

Wewe Msuva ulitakiwa kutumia Agent kwenye kunegotiate benefits zako hapo Wydad. Matokeo yake kifaransa hujui ila ukaenda wewe mwenyewe, makaratasi ya kusaini umepewa huelewi kitu.

Mbona wacongo wengi wanacheza Morocco hatujasikia huo upuuzi unaosema?

Kipaji bila elimu ni bure kabisa. Uache kuchafua Waarabu kwa ujinga wako mwenyewe, idiot.

Wabongo elimu muhimu kwenye kila kitu la sivyo mtalizwa sana kwa ujinga wenu. Leo nimesoma thread humu kuna dada wa miaka 23 "kaliza" watu wazima ambao hata kuagiza bidhaa China hawawezi wanataka waagiziwe, yaani ni ujinga ujinga tu hii nchi..
Hawa wote wamelizwa na siyo wabongo.
Hawa jamaa wanaendesha timu ki tapeli
 

Attachments

  • FB_IMG_1658042076716.jpg
    FB_IMG_1658042076716.jpg
    77.5 KB · Views: 5
Yaani unaamini huo upuuzi wa waandishi wa mchongo..?
Ingekuwa kweli, hiyo timu (Wydad) ingekuwa tayari imeshafilisika..
Ina maana Priva kujitungia tu
Jaribu ku google na wewe
Mwingine huyo mganda
 

Attachments

  • Screenshot_2022-07-20-05-17-08-372_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2022-07-20-05-17-08-372_com.android.chrome.jpg
    137.4 KB · Views: 4
Wale watetezi wa waarabu waje na hoja za kupindua meza.
Hapa tanzania mbona kuna wachezaji hawalipwi na wanazikacha timu zao na kuenda nyingine.?? Na hapa pia ni waarabu.! Ubaya hauna kwao .mtu unaweza kudhulimiwa popote sio uarabuni tu.malalamiko ya wachezaji ni africa nzima.
 
Back
Top Bottom