Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Akili huna..akili huna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili huna..akili huna
30% za TRA =480,000,000. Za Msuva =1.12BMwenzako ana 1.6B wewe ujanja wako unakusadia nini?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni ndogo?30% za TRA =480,000,000. Za Msuva =1.12B
Hawa wote wamelizwa na siyo wabongo.Hii ni habari ya upande mmoja..
Wabongo tatizo elimu ndogo, mtu anasaini mkataba bila kutumia mwanasheria halafu analalamika umeandikwa kwa kifaransa, sasa ulitaka wakuandikie kwa kiswahili wakati ndio official language ya nchi ya Morocco?
Wewe Msuva ulitakiwa kutumia Agent kwenye kunegotiate benefits zako hapo Wydad. Matokeo yake kifaransa hujui ila ukaenda wewe mwenyewe, makaratasi ya kusaini umepewa huelewi kitu.
Mbona wacongo wengi wanacheza Morocco hatujasikia huo upuuzi unaosema?
Kipaji bila elimu ni bure kabisa. Uache kuchafua Waarabu kwa ujinga wako mwenyewe, idiot.
Wabongo elimu muhimu kwenye kila kitu la sivyo mtalizwa sana kwa ujinga wenu. Leo nimesoma thread humu kuna dada wa miaka 23 "kaliza" watu wazima ambao hata kuagiza bidhaa China hawawezi wanataka waagiziwe, yaani ni ujinga ujinga tu hii nchi..
Yaani unaamini huo upuuzi wa waandishi wa mchongo..?Hawa wote wamelizwa na siyo wabongo.
Hawa jamaa wanaendesha timu ki tapeli
Ina maana Priva kujitungia tuYaani unaamini huo upuuzi wa waandishi wa mchongo..?
Ingekuwa kweli, hiyo timu (Wydad) ingekuwa tayari imeshafilisika..
Vip kuhusu mwarabu GSM?WAARABU WATU WA AJABU SANA, ZENGWE
Hapa tanzania mbona kuna wachezaji hawalipwi na wanazikacha timu zao na kuenda nyingine.?? Na hapa pia ni waarabu.! Ubaya hauna kwao .mtu unaweza kudhulimiwa popote sio uarabuni tu.malalamiko ya wachezaji ni africa nzima.Wale watetezi wa waarabu waje na hoja za kupindua meza.
hana hayo mambo