Mswada WA Sharia ya Uhusiano Kati ya US na Tanzania

Mswada WA Sharia ya Uhusiano Kati ya US na Tanzania

Na huo muswada unazungumzia viongozi wa CCM, jeshi , polisi na usalama wa taifa, hawa kaongelea viongozi wa sirikali sasa sijui, sijaona vizuri au hawataambui uwepo wao
huo mswada haupo kwenye website yoyote ya mamlaka za marekani labda upo kwenye page za mange kipimbi
 
Back
Top Bottom