Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na uboraNi muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi?
Week, Mwezi au Mwaka?
Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!
Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda