Mswaki unatakiwa utumike kwa muda gani?

Mswaki unatakiwa utumike kwa muda gani?

Ndio tatizo letu wabongo,tu wagumu kuelimishana,tunaogopa sheria ila hatuthamini afya
 
Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda


Sidhani, kuhusu mswaki, marejeo mengi hupendekeza miezi mitatu hadi sita kutegemea na ubora wa mswaki lakini.

Ukienda maduka makubwa kuna mswaki wa sh.500, 1000, 2000, 3000 na kuendelea. Kuisha kwake muda wa matumizi hutofautiana.
 
Back
Top Bottom