Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda