Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wangu nimeufanyia birthday ya miaka saba juzi
Mswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.Ni miezi mitatu.
Ni muda gani mwafaka wa kutupa mswaki baada ya matumizi?
Week, Mwezi au Mwaka?
Unaweza kuamini kuna mtu anatumia mswaki huo huo mwaka mmoja!
Wengine kila siku inapotea,sijui wapangaji wenzetu wanatuibia...!!!!Mi mpaka ukipotea nd nanunua mwingn kwajil yamatumiz...
Kitaalam;mwez mmoja
Duh....huyo alikuwa mtumiaji wa mmea pendwa??Nimemkumbuka rafiki yangu mmoja, mswaki wake uliingia chooni, aliutoa akauosha kwa sabuni ya unga then akaendelea kutumia kama kawaida, nilipomuuliza kwanini kafanya hivyo akanijibu "mdomoni kuna bacteria wengi kuliko mdomo wa rivasi"[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Bwana bwana bwana weee... haya mambo mi siyawezi.... cha muhimu usafi tu sifwati izo sheria zako na wala sijawahi ugua au kupata maambukizi ya ngozi wala fangasiMswaki,Leso,Dodoki, nk hv vifaa kiafya hutumika ndani ya wiki tatu tu. Na sio miezi mitatu kama wengi wanavyosema ila kuna Taulo,Chupi/Boxer,Soksi,Vest/Blazia.nk hv ndio kiafya vinatumika kwa miezi mitatu.
NB: Inashauriwa kuvaa nguo za kawaida i.e Shati,suruali,Gauni,sketi,Viatu nk ndani ya miezi sita-nane kulingana na ubora wa product yenyewe ila usipitishe huo muda
Piga picha tuuoneWangu nimeufanyia birthday ya miaka saba juzi