Mt Kilimanjaro can never be seen (with naked eyes) from Nairobi

Mt Kilimanjaro can never be seen (with naked eyes) from Nairobi

Kenyans news
Diamond ni mkenya
Samatta ni mkenya
Kilimanjaro ni ya kenya
Daraja la kigamboni ni la kenya.
Hawa watu wanateseka sana sijawahi sikia watanzania wanasema masai mara ni ya kwao.
Tusisahau kuchukua tahadhari dhidi ya corona wakuu
Kanawe
 
Geza Ulole, your 100 year old lie is here, proven otherwise

People in India can see the Himalayas for the first time in 'decades,' as the lockdown eases air pollution
Screenshot_20200429-003931_Twitter.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
so now prove to me that aircraft is at altitude of 11 km for your eyesight to have that clear vision! Or in other question can u see a house on the ground while boarding a flight at that altitude? The answer is no! do u know Stratosphere?

Stratosphere-Diagram-850x477.jpg
So what have you proven with the picture?Even those loon balloons that fly almost to the edge of space have been visible
FB_IMG_1588144487450.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ingekuwa kweli, kungekuwa na picha nyingi za mlima kilimanjaro hapo Nairobi kutoka kwenye ndege.

With that argument, people could see the moon during the day.

The moon is like a massive mirror (over 3000km wide) that reflects some of the sunlight to the earth. You don't see the moon during the day because massive sunrays overshadow (figuratively) few reflected sunrays from the moon.

It is just how the inverse square law works, as you go farther away from a luminous object the less it appears and that further depends on the size of the source.

Considering Kibo (the highest tip of the mountain you claim to see from Nairobi) is only 24km wide but 200km away, with that distance, it could not reflect enough rays to overshadow massive sunrays (during the day) for you to see it in Nairobi. The same reason you don't see the moon at noon.
Kili can be seen from Nairobi during the evenings when the sun is sinking and sometimes during the day.
 
so now prove to me that aircraft is at altitude of 11 km for your eyesight to have that clear vision! Or in other question can u see a house on the ground while boarding a flight at that altitude? The answer is no! do u know Stratosphere?

Stratosphere-Diagram-850x477.jpg
haina haja ya ubishi...ukichengwa tulia
 
Kili can be seen from Nairobi during the evenings when the sun is sinking and sometimes during the day.
kama ni kweli kungekuwa na picha nyingi kama zile zinazopigwa Moshi.
Mwenzako amekuambia watu wa Northern India wanaweza ona Himalayas ambayo iko takriban 200 km away. So your argument is moot.
Himalaya ni safu za milima (mountain range). Hizi huwa ndefu sana, zinaweza kuwa na upana wa maili zaidi ya elfu tatu. Kwa upana huo milima ya Himalaya inaweza kuonekana kwa umbali huo.

Kilimanjaro ni mlima mmoja uliosimama pekeyake ukiwa na kilele chembamba kulinganisha na shina. Udogo huo wa kilele ndio unaozuia kuonekana kwa macho kutoka km 200. Hii ni kutokana na fizikia ya mwanga ambapo taswira ya kitu inapungua ukubwa kadri unaposogea mbali.
 
kama ni kweli kungekuwa na picha nyingi kama zile zinazopigwa Moshi.

Himalaya ni safu za milima (moutain range). Hizi huwa ndefu sana, zinaweza kuwa na upana wa maili zaidi ya elfu tatu. Kwa upana huo milima ya Himalaya inaweza kuonekana kwa umbali huo.

Kilamanjaro ni mlima mmoja uliosimama pekeyake ukiwa na kilele chembamba kulinganisha na shina. Udogo huo wa kilele ndio unaozuia kuonekana kwa macho kutoka km 200. Hii ni kutokana na fizikia ya mwanga ambapo taswira ya kitu inapungua ukubwa kadri unaposogea mbali.
Sijui kwanini unabisha what prevents you from seeing things far away is the Earth's curvature not distance. That's why the pictures taken are from an elevated position.e.g from an aircraft or on top of a building.
 
Sijui kwanini unabisha what prevents you from seeing things far away is the Earth's curvature not distance.
That's why the pictures taken are from an elevated position.e.g from an aircraft or on top of a building.
Huo upinde wa dunia nilishauhususha kwenye hoja yangu pale nilipoongelea kilele cha mlima, nikimaanisha kuwa ni kilele tuu ndicho kitaonekana kwa kuwa dunia ni tufe.
 
Back
Top Bottom