Mtaa umejaa wanaijeria

Itakua mama kasoma Sana komenti zangu humu na anazikubali
 
Hawa ndio matajiri wa dada zetu,ukiona viduka vya hawa dada zetu wa mijini nyuma yao kuna Wanaija na Wakongo, wanaingia na gia za kuoa au uchumba lakini nia yao ni kupata vibali na mteremko wa kufanya biashara zao za sembe nambari wani.
 
Wee ndo Dalali wao
 
WA-Nigeria wamekuja huko bongo kuwaibia pesa kaeni vizuri sana hao watu ni hatari sana katika bara la afrika. Mutalizwa sana.

What does 419 mean?
Why do they call it 419? The '419' refers to the article of the Nigerian Criminal Code which deals with fraud and makes this type of fraud illegal. Although this scam originated in Nigeria, it is carried out by scammers in many different countries including Ghana, Senegal, Malaysia, Russia and the USA.
419 ina maana gani
Kwa nini wanaiita 419? '419' inarejelea makala ya Kanuni ya Jinai ya Nigeria ambayo inahusika na ulaghai na kufanya aina hii ya ulaghai kuwa haramu. Ingawa utapeli huu ulianzia Nigeria, unafanywa na matapeli katika nchi nyingi tofauti zikiwemo Ghana, Senegal, Malaysia, Russia na Marekani.


Who started 419 in Nigeria?
The name 419 comes from "419 fraud", another name for advance fee fraud, and itself derived from the relevant section of the Nigerian criminal code. The website founder, Michael Berry, goes by the alias Shiver Metimbers.

Nani alianzisha 419 nchini Nigeria?
Jina 419 linatokana na "419 fraud", jina lingine la ulaghai wa ada ya mapema, na lenyewe linalotokana na sehemu husika ya kanuni za uhalifu za Nigeria. Mwanzilishi wa tovuti, Michael Berry, huenda kwa jina lak Shiver Metimbers.
 
mmm, tunatakiwa tuwe makini, nigeria bado wana hasira na vita ya Biafra..TZ iliwasapoti waasi Malawi bado wanalikodolea macho ziwa nyasa, wanatamani sana mafuta na gesi iliyopo katika ukanda huo wa ziwa. TZ tunatakiwa tuongeze umakini
Watanzania ni watu wa kuridhika na wanaohusudu Rushwa.

Wageni wameshatutambua hivyo wakifuatwa na wahusika wanatoa Rushwa hakuna kinachotokea.

Wanatajirika huku sisi tukinufaika na Rushwa ndogo ndogo.
 
Bongo ishakuwa shamba la Bibi,halafu foreigners wanakula good time ambayo hata kwao hawawezi kuipata na kinachoumiza zaidi,sisi tunaishi nao vizuri kwa asilimia kubwa lakini wao Sasa ,Kama itatokea utaenda ishi kwenye nchi zao labda kwa ajili ya kusoma,kazi au biashara,aisee lazima uombe Pooh hakuna picha utaacha kuiona,Yani fulu racism

Ila hii ishu,isipofatiliwa kwa kina na mamlaka husika aisee,itakuja kutukosti kwenye swala la uchumi kushikiriwa na wageni badala ya wazawa ,sema foreigners aisee ni wengi Tena mbaya zaidi wengine wanafanya kazi ambazo huwezi kutegemea kwamba foreigner atafanya yaani wanakaba kila Kona mfano unamkuta mchina eti nae anaendesha bajaji

All in all Hawa jamaa wafatiliwe wanazidi kuwa wengi ,wasomali,waarabu,wahindi,wachina,waburundi,wanyarandwa,wakenya,wamalawi,wanaigeria

Tusiposhituka mapema yanayotokea south Africa ,yatatokea pia bongo
 

Wewe uwajui wanigeria tena nyamaza kabisa, duniani kote hakuna sehemu wanakubalika eti wawekezaji toka nje mnaija [emoji1787][emoji1787].Umeshasikia nani anaenda kwao
 
Itakuwa maandalizi ya mambo ya The African Continental Free Trade Area 2063.
 
mtaa upi?
 
Hizi ndizo haswa sababu za msingi za hawa jamaa ku flock Tz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…