KERO Responded Mtaa wa Igumu kata ya Mwasonge wilaya ya Misungwi hakuna umeme

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

iskariote04

Member
Joined
Oct 10, 2026
Posts
5
Reaction score
2
Sielewi kinachoendelea kuhusu mgawo wa umeme katika eneo letu. Hadi leo hii, maeneo yote yanayozunguka Mtaa wa Igumu yana umeme, lakini kijiji chetu bado hakina umeme.

Inashangaza kuona maeneo ya jirani yakiwa na huduma ya umeme huku sisi tukiendelea kukosa huduma hiyo. Tunaomba mamlaka husika zitupatie ufafanuzi kuhusu hali hii.

MAJIBU YA TANESCO HAYA HAPA 👇🏻
 
Habari iskariote04, asante kwa kuwasiliana nasi na pole kwa changamoto hiyo.

Tafadhali tufahamishe kama umefanikiwa kuwasilisha ombi la kuunganishiwa umeme ili tuweze kukupatia msaada zaidi.

Asante.^FL
 
Kwanza nashukuru Kwa kuweza kunijibu suala hili tumeshafatilia muda sana na kufika kwenu lakini amna kinachoendelea tunaomba mtusaidie
 
Ndugu iskariote04 , tafadhali tunaomba uvumilivu wako kwa muda wakati tunafanya ufuatiliaji juu ya hili suala na kurudi na majibu stahiki.

Asante.^FL
 
Habari, mteja wetu.

Wakati tunaendelea kufuatilia ombi lako,ni vizuri ufahamu kuwa serikali tayari imefikisha umeme kwenye kila kijiji na sasa ni zamu ya vitongoji.

Lengo la serikali ni kuwa ifikapo 2030 vitongoji vyote viwe na umeme.

Aidha, wataalam wetu watafika nakujua hali ya eneo lako na mpango unaoendelea kuhusu eneo hilo.

Asante. ^MY
 
Saw ninaimani mtalifanyia kazi
 
Back
Top Bottom