ukosefu wa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tangu wanaanzisha mfumo wa REA wa kusambaza umeme vijijini Kitongoji Kishenge, hakina umeme

    Nipende kujua maana Tangu wanaanzisha mfumo wa REA wa kusambaza umeme vijijini. Iki KITONGOJI hakina hata nguzo Moja ya umeme. Watu wanateseka na wako gizani muda wote. Labda niulize serikali inampango gani na Hawa wananchi ambao Kwa Sasa ni miaka zaidi ya 7 hawajawahi kuona mwanga wa UMEME...
  2. I

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mtaa wa Igumu kata ya Mwasonge wilaya ya Misungwi hakuna umeme

    Sielewi kinachoendelea kuhusu mgawo wa umeme katika eneo letu. Hadi leo hii, maeneo yote yanayozunguka Mtaa wa Igumu yana umeme, lakini kijiji chetu bado hakina umeme. Inashangaza kuona maeneo ya jirani yakiwa na huduma ya umeme huku sisi tukiendelea kukosa huduma hiyo. Tunaomba mamlaka husika...
  3. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania KERO Giza katika makazi ndani ya manispaa za Shinyanga na Kahama licha ya nyumba hizo kuwa na umeme nyakati za usiku

    Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu! Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa kutokomeza hali ya ugiza kwa kuzindua angalau kampeni ya nyumba kwa nyumba kuwataka wamiliki kuweka taa za...
Back
Top Bottom