KOF Believer
New Member
- Sep 18, 2026
- 3
- 9
Nipende kujua maana Tangu wanaanzisha mfumo wa REA wa kusambaza umeme vijijini. Iki KITONGOJI hakina hata nguzo Moja ya umeme. Watu wanateseka na wako gizani muda wote.
Labda niulize serikali inampango gani na Hawa wananchi ambao Kwa Sasa ni miaka zaidi ya 7 hawajawahi kuona mwanga wa UMEME kwenye vitongoji vyao.
Naoji ili nijue maana ni kama serikali imetupa Hawa wananchi, au wanampango gani nao. Tuhojiane