KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

KERO Mtaa wa King'azi, Kata ya Kwembe na maeneo ya Kifuru hatuna maji tangu Januari

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Wananchi wa mtaa King'azi Kata ya Kwembe pamoja na maeneo kadhaa ya Kifuru hatuna maji tangu Januari.

Tunateseka nina vipele mwili mzima kwa kuoga maji ya visima
 
Maji saizi ni shida, ubungo kibangu maji yanatoka baada ya wiki mbili
 
Mkoa na Wilaya gani tumtumie Jumaa Aweso taarifa.
 
Back
Top Bottom