Mtaa wa Lumumba Mwanza nyumba zinawaka moto muda huu!

Mtaa wa Lumumba Mwanza nyumba zinawaka moto muda huu!

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Moto umezuka na kuendelea kuteketeza nyumba kadhaa katika Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo

Tutakufahamisha zaidi kinachoendelea
============
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na ajali ya moto iliyoteketeza maduka mtaa wa Lumumba uliopo katikati ya jiji hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mtanda ameeleza kuwa alipata taarifa mapema juu ya tukio hilo na kuwasiliana na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambao wamefanya zoezi la kuzima moto kwa haraka wakishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama katika kufanya udhibiti wa moto huo kutoathiri maeneo ya jirani.

Naye Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, John Nzilanzingi amewapa pole wananchi wake huku akiipongeza serikali kwa kuchukua hatua za haraka.


 
Planning CCM maandalizi waseme kuwa Chadema maana kauli zao matokeo yao mpaka walisema wamekamata bila ushaidi ndio kuleta ushaidi
 
Duh Mungu awatie nguvu. Hivi Lumumba st si ndio karibu na Mtaa wa Rwagasore kwa mbele? Njia kama unaelekea Railway au Mwanza Hotel?

I. Love Mwanza.
 
🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️😢
 
Pole watu wa Mwanza mnaoishi mtaa wa Lumumba na maeneo ya jirani
 
1783108400041.png
😭
 
Back
Top Bottom