Moto umezuka na kuendelea kuteketeza nyumba kadhaa katika Mtaa wa Lumumba, jijini Mwanza, na kusababisha taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo hilo
Tutakufahamisha zaidi kinachoendelea
============
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amesema mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kifo kutokana na...
https://www.youtube.com/watch?v=TLSD0tQq_Es
Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 katika soko la mbao Sabasaba Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Akithibitisha kutokea tukio hilo leo Jumatatu Machi 17, 2025, Kaimu Mkuu wa Jeshi la Zimamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.