Either mtoto hakuelewa au walim-mislead
Biology ni COMPULSORY (SOMO LA LAZIMA) kwa wote haijalishi anasema sayansi, biashara au mkondo wa amali
Walichosema walimu ni sahihi kwa mfumo wa necta kumkatalia kuto kufanya biology ndomana nasema pengine mwanafunzi hakuelewa au walimchanganya
WANAFUNZI WOTE WANASOMA BIOLOGY