ushauri huo utumie ,huna hela waone hakielimu au haki zabinadamu au TLSKwa hakika inatia hasira sanaaa, wanaharibu future za watoto wetu,sasa fikiria,tangu form one hajawahi kusoma BIOLOJIA, amefuka kidato cha mtihani wanamwambia anasajiliwa kufanyia mtihani somo ambalo hajawahi kulisoma, inawezekanaje?
ogopa sana somo kama biology kuwa siolalazima kuazia kidato chakwanzaMbona ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi na watoto wetu? Hakuna chama cha kupigania masuala ya wanafunzi? (Kama ilivyo kwa walimu). Hili suala linahitaji nguvu ya wanafunzi au wazazi kwa pamoja. Sio ishu ya mtu mmoja mmoja.
ogopa sana somo kama biology kuwa siolalazima kuazia kidato chakwanzaMbona ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi na watoto wetu? Hakuna chama cha kupigania masuala ya wanafunzi? (Kama ilivyo kwa walimu). Hili suala linahitaji nguvu ya wanafunzi au wazazi kwa pamoja. Sio ishu ya mtu mmoja mmoja.
Ndugu umesoma mtaala mpya na miongozo yake?Either mtoto hakuelewa au walim-mislead
Biology ni COMPULSORY (SOMO LA LAZIMA) kwa wote haijalishi anasema sayansi, biashara au mkondo wa amali
Walichosema walimu ni sahihi kwa mfumo wa necta kumkatalia kuto kufanya biology ndomana nasema pengine mwanafunzi hakuelewa au walimchanganya
WANAFUNZI WOTE WANASOMA BIOLOGY
Hapana usiseme mfumo sisi wataalam waandamizi iwa tunauita system...Ni Tanzania tu ndio mfumo unaweza kumtambua mhalifu lakini sio kumwezesha mwananchi.
Na wanavyosema mfumo huku wakijmwambafai utafikiri ni sayansi ya kupasua ubongo!
Kumbe na hesabu nayo ipo kwenye optionCha ajabu somo la biashara ndio somo la lazima vitu vingine unaweza kuzani vinaendeshwa kwa ulevi
ningewaona wanaakili wangeazisha soma la sheria kuazia shule ya msingiKwa jinsi somo la Biology lilivyo muhimu hivi inakuwaje wanasiasa wanasema lisiwe somo la lazima?
Cha ajabu somo la Biashara ndio la lazima kusoma
Hii nchi ina usenge mwingi sana kmmmk
JamiiCheck
Cha ajabu somo la biashara ndio somo la lazima vitu vingine unaweza kuzani vinaendeshwaKwa jinsi somo la Biology lilivyo muhimu hivi inakuwaje wanasiasa wanasema lisiwe somo la lazima?
Cha ajabu somo la Historia ya Tanzania ndio muhimu na lazima kusoma
Hii nchi ina usenge mwingi sana kmmmk
JamiiCheck
Na hili la kuchagua masomo form 1 litaleta shida kubwa mbeleniMi nadhani mambo ya kuchagua fani yangeanzia KIDATO Cha TATU kama zamani, kwasababu mtoto anakuwa aneshasoma masomo yote, ameshajua ni masomo yapi anafaulu na anayapenda ila hili la kuchagua bado upo KIDATO Cha kwanza ni mtihani kweli kweli waliowapa wazazi na wanafunzi.
Hata mimi naona hili ndo linaleta tija mtu form one achague masomo mbona wengi watakuja kujuta huko mbeleMi nadhani mambo ya kuchagua fani yangeanzia KIDATO Cha TATU kama zamani, kwasababu mtoto anakuwa aneshasoma masomo yote, ameshajua ni masomo yapi anafaulu na anayapenda ila hili la kuchagua bado upo KIDATO Cha kwanza ni mtihani kweli kweli waliowapa wazazi na wanafunzi.
Thubutuuuu!!!ningewaona wanaakili wangeazisha soma la sheria kuazia shule ya msingi