kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Ogopa sana kama watunga sera hawakuona hilo tatizoThubutuuuu!!!
Ili baadae tuje kuwasumbua kama tundu lissu.
Biology wanasoma wanafunzi wa mkondo wa sayansi tu!. Labda kama maelekezo ya ulipi ni tofauti.. nafundisha wanafunzi 10 tu kidato cha pili out of 53Either mtoto hakuelewa au walim-mislead
Biology ni COMPULSORY (SOMO LA LAZIMA) kwa wote haijalishi anasema sayansi, biashara au mkondo wa amali
Walichosema walimu ni sahihi kwa mfumo wa necta kumkatalia kuto kufanya biology ndomana nasema pengine mwanafunzi hakuelewa au walimchanganya
WANAFUNZI WOTE WANASOMA BIOLOGY
Sio reproduction tu wanataka mtoto asijue njia za kuenea kwa magonjwa na jinsi ya kuyaepuka, jinsi ya kutoa huduma ya kwanzaOgopa sana kama watunga sera hawakuona hilo tatizo
Kwamba ,leo (zama hizi) wanataka mtoto wakike hata asijue reproduction ni nn
Lakini wamekubaliana leo hii pawe na somo la historia ya Tanzania liwe lazima !!! nawaza tu kwamba kumbe ilikuwa lazima lisu awe lupango bila sababu
Lakini vyama vya siasa vyote nchini wanamapengo hilijambo hata zitokabwe ,hakuliona
Wanataka kuzalisha taifa la mapoyoyo.Kwa jinsi somo la Biology lilivyo muhimu hivi inakuwaje wanasiasa wanasema lisiwe somo la lazima?
Cha ajabu somo la Biashara ndio la lazima kusoma
Hii nchi ina usenge mwingi sana kmmmk
JamiiCheck
Masomo yote ya sayansi wameweka ni option. Biology ni option sio lazima. Core subjects ni kiswahili, english, maths, Htm, geography, na bussiness studies.Either mtoto hakuelewa au walim-mislead
Biology ni COMPULSORY (SOMO LA LAZIMA) kwa wote haijalishi anasema sayansi, biashara au mkondo wa amali
Walichosema walimu ni sahihi kwa mfumo wa necta kumkatalia kuto kufanya biology ndomana nasema pengine mwanafunzi hakuelewa au walimchanganya
WANAFUNZI WOTE WANASOMA BIOLOGY
Mpaka sasa hawajatoa ufumbuzi?Jambo hili mamlaka zinazohusika hazioni kama ni hatari, wala dharura!
USAJILI wa watahiniwa unaendelea, ajabu ni kwamba MFUMO WA BARAZA LA MITIHANI unataka mtoto asajiliwe Masomo yasiyopungua 8 na yasiyozidi 10, (kwa ushahidi niliotumiwa na mtaaluma WA shule anayosoma kijana wangu, MGULASI SEKONDARI,ILIYOPO MANISPAA YA MOROGORO)
Watoto tangu kidato cha Kwanza walifundishwa Masomo 7, (6 ya lazima na moja la hiari, ambalo ji HISTORY), Sasa imefika mwaka wa mtihani WA TAIFA watoto wanaambiwa wasajiliwe Masomo 8, sasa hili la nane wanalitoa wapi, ilhali tangu kidato cha Kwanza waliambiwa wachague, na wakachagua?
View attachment 3544856
Ninsahihi, lakini wale walioko field, mkondo WA jumla, wanalazimisha kuanza kusoma BIOLOGY wakiwa kidato cha pili, (japo hawakuichagua wakiwa kidato cha Kwanza).Masomo yote ya sayansi wameweka ni option. Biology ni option sio lazima. Core subjects ni kiswahili, english, maths, Htm, geography, na bussiness studies.
Labda mpaka JamiiForums watusaidie kulisemea ili hatua za haraka zichukuliwe!Mpaka sasa hawajatoa ufumbuzi?
Kwa sasa SoMo la biashara ni muhimu kuliko biologyKwa jinsi somo la Biology lilivyo muhimu hivi inakuwaje wanasiasa wanasema lisiwe somo la lazima?
Cha ajabu somo la Biashara ndio la lazima kusoma
Hii nchi ina usenge mwingi sana kmmmk
JamiiCheck
Bado hauwezi kutoa umuhimu wa Biology kwenye maisha ya kila sikuKwa sasa SoMo la biashara ni muhimu kuliko biology
Kwa hilo Wanu Ameir unamkosea na kumuonea bure.Mnajua nyie watu mnatuchosha sana! Nyie mnaongozwa na tutusa halafu mnatamani mambo.
makubwa inawezekana vipi? Hivi wanu anaweza kuw ana akili ya kuchambua mtaala?
Biology is an option subjectEither mtoto hakuelewa au walim-mislead
Biology ni COMPULSORY (SOMO LA LAZIMA) kwa wote haijalishi anasema sayansi, biashara au mkondo wa amali
Walichosema walimu ni sahihi kwa mfumo wa necta kumkatalia kuto kufanya biology ndomana nasema pengine mwanafunzi hakuelewa au walimchanganya
WANAFUNZI WOTE WANASOMA BIOLOGY
Shule zetu,siasa zetu😎
Siasa zetu, Shule zetuShule zetu,siasa zetu😎
Hapo kuna mkanganyiko ni kwa mujibu wa Wizara ya Elimu au Baraza la Elimu? Mtaala unatolewa na Wizara au na Baraza? Fafanua vizuri mkuu maana hapo lugha zinagonganaBaraza la MITIHANI (NECTA) tunaomba ufafanuzi wa Jambo hili nyeti kabisa!
Hio ni database inaweza ikafumuliwa tu na kupangwa upya yaan sio kitu cha ajabu sana, issue ni kwamba anaeandaa mtaala ni Baraza au ni Wizara? Maana wewe utakua hujaenda sehemu sahihi au unailaumu sehemu isiyo sahihi suala la mtaala sio la Baraza ni la Wizara ungemfuata Mkenda umuulize vizuri akupe majibuNajiuliza, inawezekanaje MTAALA UMEBADILIKA lakini mfumo wa USAJILI WA wanafunzi kupitia Baraza la MITIHANI (NECTA) bado hauendani na matakwa ya mtaala mpya?