Mtaala mpya haujaeleweka? Au tunacheza na maisha ya watoto wetu?

Mkuu vipi ulifikia wapi hii ishu? Mtoto aliendelea kulazimishwa kusoma biology?
 
Mifumo kitosomana kwenye elimu ni jambo la hatari sana kwa future ya watoto wetu.
 
Kwa hii mitaala kila kukichq inabadilishwa mtaala wa 2021 mara mtaala wa 2023 mara mtaala wa 2024 reviewed 😂
 
Mtaaluma wa Mgulasi aliwapoteza.Kuna sehemu alibugi kuwasajili na sio mfumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…