Mtaala mpya wa elimu utazamwe upya

Mtaala mpya wa elimu utazamwe upya

Wanasoma kama masomo sio combination yakiwemo mengine ila syllabus yao akikaa na mtoto wa PCB wa Tanzania ngoma draw

Primary wao fizikia,kemia na biologia ni masomo yanafundishwa shule ya msingi
Ile Chand ya India imeandikwa class twelve vipi wanasoma wakiwa darasa la ngapi?
 
Sasa hii ni English medium ama huku tawala za mikoa?

Ila kwa hizi shule za tawala za mikoa nakumbuka kipindi hicho katibu mkuu NECTA alikuwa Prof Ndalichako haya mambo tulianza kusoma darasa la 5 na nilikuwa sielew chochote japo lugha iliyotumika ni kiswahili na nilipofika form 1 lugha tu ndio iliyobadilikana kuwa kiingereza Cha ajabu niliyaelewa vyema nahisi kwakuwa akili ilikuwa ishaanza kupevuka.
 
Nadhani tatizo lipo kwa walimu namna ya kufundisha mtoto wa miaka 8 ama 9 kitu kama single cell, amoeba, plasmodium nk nk ni kitu gani mtoto akielewe kiundani kwa lugha yoyote yahitaji ujuzi mkubwa wa ufundishaji.

Vinginevyo ni kuburuza tu kucover syllabas lakini watoto wanaburuzwa na kuachwa weupe.
 
Tuwachie na tuwamini wataalamu wa elimu wao wamefanya utafiti na wameona ni muhimu kwa mitaala kubadilika, jitihada ziende kwa walimu wapewe semina jinsi ya kufundisha huu mtaala mpya.
 
Hawa Hawa ndio waliotaka kufanya physics na chemistry kuwa somo moja.
 
Huko sahihi kabisa. Mwanafunzi wa darasa la tatu anapewa notisi kibao kama mwanafuzi wa sekondari.
Mwanafunzi anakaririshwa what is physics, chemistry etc? Physics is a study of matter in relation to energy. Jamani darasa la tatu?. Darasa la tatu hiyo energy hujamfundisha kwa vitendo akaijua. Walimu hawajaandaliwa kufundisha masomo hayo. Ni mwendo wa notisi ru jamani!
 
Hivi hamna mtu mwenye chand ya physics both class eleven or twelv.msaada wakuu
 
Nadhani tatizo lipo kwa walimu namna ya kufundisha mtoto wa miaka 8 ama 9 kitu kama single cell, amoeba, plasmodium nk nk ni kitu gani mtoto akielewe kiundani kwa lugha yoyote yahitaji ujuzi mkubwa wa ufundishaji.

Vinginevyo ni kuburuza tu kucover syllabas lakini watoto wanaburuzwa na kuachwa weupe.
Na wanaburuzwq kwelikweli. Wakwangu anasoma.darasa la 3 ,masomo yao hayaendani na umri. Walimu wenyewe wanalalamika.
 
Back
Top Bottom