Mtaala mpya wa elimu, walimu jiandaeni kurudi shule

Diploma kufundisha sekondary sio sahihi hana tofauti na form six

Ndio.maana shule nyingi za sekondary za serikali zina matokeo mabaya sana

Private walikojaa walimu wenye digrii kuko vizuri.mno
Hii inaitwa fallacy of generalization.
Hujafanya tafiti unakuja kuandika uharo huku.
 
Kweli mkuu.
Siyo hayo tu,bali pia idadi ya walimu ni ndogo.
 
Elimu ya Tz mnawapa wanasiasa wasiojitambua that way watu hupeleka watoto wao kusoma nje

Yaani kila kichaa akipata uwaziri anakuja na Ajenda na sera Mpya kuhusu Elimu yetu ...ujinga mtupu
Mpwayungu akajiendeleze
 
Wametoka kuajiri walimu juz juz hapa.. walizingatia hizo sifa maana najua kbs hii project ilikuw tyr documented au hawakufanya forecasting vzr?

Ningependa zaidi walimu wawe na masters kbs pia mishahara iongezwe.

Hii nchi ina walimu vilaza wengi warudi shule.
 
Miongozo na nyaraka zinatuvuruga sana walimu.
Sera hata kama ikiwa nzuri. Voda fasta, div ,iv point 27....
 
Kikubwa nilicho ki note kwenye topic ya mambo ya mitaala toka kukua kwangu ni WATU KUPINGA PINGA NA KUKOSOA KOSOA TU.

Ukiona hoja ya mitaala ikiibuka kinachofata ni kupinga cjui kwa nn. KM UNABISHA JARIBU KUFUATILIA
 
Hiyo ni shida ya jamii ya Watanzania mtu anabisha na kupinga bila facts sijajua Huwa inasaidia nini..

Kingine ni Ile kudhani mtu akiwa mpinzania ndio ana akili kumbe bogus tuu 😁😁
 
Miongozo na nyaraka zinatuvuruga sana walimu.
Sera hata kama ikiwa nzuri. Voda fasta, div ,iv point 27....
This time ni overhaul ya Elimu sio nyaraka ndio maana mnaambiwa toeni maoni mchakato unaendelea kilichowekwa mezani ni rasimu ya sera.
 
Hiyo ni shida ya jamii ya Watanzania mtu anabisha na kupinga bila facts sijajua Huwa inasaidia nini..

Kingine ni Ile kudhani mtu akiwa mpinzania ndio ana akili kumbe bogus tuu [emoji16][emoji16]
Ila upande wa kijani ni bogus zaidi🥱🥱🥱
 
Achaa Uongo wewe,Kenya ipii hiyo ambao walimu kuanzia chekechea wana degree,,kama huna uhakika na kitu haina haja ya kucomment ilimradii tuu uonekane
 
Kwa ufupi tu Elimu ni kama mpira hivyo vitu bila kuwa na uchumi mzuri sidhani kama utapata matokeo mazuri, msosi/afya lazima uchukue nafasi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…