Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Nawasalimia nyote katika jina la Nguvu Kuu iletayo uzima na kifo. Hoja yangu ni mbinu za nyakati hizi kuwafanya watoto wetu wapanue uwezo wa kujitambua na kujitegemea katika kukabiliana na dunia ya sasa.
Hapa naongelea wazazi wanaojua hasa nini maana ya kulea. Wanaotafsiri upendo kiuwajibikaji. Ratiba za masomo na wazazi zimekuwa sababu ya watoto kunyimwa maarfa muhimu ya kuimudu dunia. Ukiachilia msingi wa kiuadilifu/maadili, msingi muhim ni utambuz wa kiuchumi. Binafs kwa mazingira yetu tujadiri kazi za baada ya masomo za kuwasaidia watoto waweze kujitambua na kujitegemea muda huu na mbelen.
Wanasaikolojia na sociolojia ni muhim wakaweka sawa pale kazi moja inapoingilia nyingine.
Niko zaid katika kumjenga na mzaz/mlez aendelee kumhudumia.
1. Nianze na mradi wa kuku wachache wa kienyeji anaoweza kuhudumia mtoto akitoka shule.
NAmaanisha mradi ni wake 100% na afurahie kaz ya mikono yake.
2. Mradi wa kuandaa bites/cookies na kumwachia muuza duka akitoka shule apitie hesabu
3. Mradi wa kulima mboga mboga na kuwauzia majiran ili asipatwe changamoto za kiusalama
4. Mradi wa kuandaa ice cream na barafu akamwachia muuza duka.
5. Mrad wa kuwauzia nguo za ndan/bla na viatu wanafunz wenzie kwa walioko chuo/hostel.
Ongeza........