Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

Mtu unaitwa Pembe unafikiri utakuwa unauelewa mzuri kwanza
Utakuwa mjinga unataka warahisishe ili mje kutuua huku mtaani. Komaa nyambafu or else acha. Kozi za afya mmeziparamia kukimbilia ajira na uwezo wenu ni wa chini.
Mtaala ubadirishwe kisa MTU mmoja mpumbavu aliyefeli?
 
Utakuwa mjinga unataka warahisishe ili mje kutuua huku mtaani. Komaa nyambafu or else acha. Kozi za afya mmeziparamia kukimbilia ajira na uwezo wenu ni wa chini.
Mtaala ubadirishwe kisa MTU mmoja mpumbavu aliyefeli?
Hivi unajua nilikuwa namaana gani nawewe umeandika nini hapa!?

Toka mwanzo nilikuwa na wasiwasi na uwezo wako wa akili!!
 
Mkuu unamaanisha mwenye digrii ya Political Science au Kiswahili anaweza kudahiliwa kusoma digrii ya Udaktari Marekani?

Wanapenda Bachelor of Science yoyote iwe Biology, Chemistry, physics, Neuroscience n.k
Mtindo ni huo huo USA kusomea sheria wanapenda hata uwe na digrii ya geography ilimradi tu una digrii fulani hata ya udaktari wa binadamu basi utaweza kusoma digrii ya sheria maana utakuwa na uelewa mpana wa mambo ukiwa wakili .
 
Reactions: Cyb
Chizi ww madaktari wa zamani kabla ya smartphone walikuwa wanafanyaje kazi yaani ukae darasani miaka mitano halafu u Google dalili Tanzania sio nchi ya kukaa ngoja nikusanye hela niondoke kwa ufala huu unatetea ujinga vipi na mimi niki Google nikienda pharmacy kununua dawa hospital ataenda nani

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ukilinganisha shule ya udaktari na ya diploma ya utabibu, ni kama yule wa diploma hajasoma chochote. Ni vyema akaanza upya.
 
U

Uelewa wa aliyetoka kidato Cha 6 huwa ni mkubwa sna
Hapana!!! Aliyetokea Diploma ndio anakuwa yuko vizuri, maana tayari anakuwa na taaluma na uzoefu. Na ikumbukwe tu kuwa mhitimu wa Diploma anaweza kuajirika ama kujiajiri hapo alipo.
 
Unataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?

Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Sio kama aache kusoma ni ana hoja ya msingi, mimi pia niliupenda udaktari lakini nimeukacha kwasababu ya muda unasoma unazeekea shuleni[emoji38] ,
 
Case closed!!!!

Hawa certificate wasitusumbue hapa.
 
Hayo muhitimu wa 4m 6 atayakuta chuoni tena ngazi ya degree. Hao wa Diploma watajijei.
 
Mmeanzaa nyie Diploma wa Engineering, kumbe hamna kitu. PCM/ PGM Ziliwabwagaaa lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzoefu wenu upo kwenye ngazi ya chini ya uelewa, hata kuruhusiwa kusoma degree ni favour tu mmepewa.....ila kimsingi anayeruhusiwa kusoma degree kwa Tanzania ni aliyefuzu masomo ya A-level.
Full stop.
Tena umehitimishaa haswaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanazitamani Degree, na uwezo hawanaaa.
 
Sio kama aache kusoma ni ana hoja ya msingi, mimi pia niliupenda udaktari lakini nimeukacha kwasababu ya muda unasoma unazeekea shuleni[emoji38] ,
Hukuutaka u Dr bhanaa, km kwelii naamini ungesoma tyuuh.
 
Hapo kwenye Co wanatakiwa wapunguziwe miaka kwasababu wanakuwa Wana uzoefu na wamejitunza mengi Yale ya MD ISIPOKUWA UPASUAJI MKUBWA TU ILA MAGONJWA AU DIAGNOSIS hazibadiliki ila treatment Zina change kutokana na updates ambazo wote watazosoma Kwa guidelines
 
Soma kinacholingana na akili yako kwann kulazimisha kusoma udaktari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…