Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Hata kama ungeitwa mhuri wa moto punguza kukurupuka tutakutongoza humu uharibiwe marinda bure.Mtu unaitwa Pembe unafikiri utakuwa unauelewa mzuri kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ungeitwa mhuri wa moto punguza kukurupuka tutakutongoza humu uharibiwe marinda bure.Mtu unaitwa Pembe unafikiri utakuwa unauelewa mzuri kwanza
Utakuwa mjinga unataka warahisishe ili mje kutuua huku mtaani. Komaa nyambafu or else acha. Kozi za afya mmeziparamia kukimbilia ajira na uwezo wenu ni wa chini.Mtu unaitwa Pembe unafikiri utakuwa unauelewa mzuri kwanza
Tafuta tusi jipya mkuu wanguHata kama ungeitwa mhuri wa moto punguza kukurupuka tutakutongoza humu uharibiwe marinda bure.
Hivi unajua nilikuwa namaana gani nawewe umeandika nini hapa!?Utakuwa mjinga unataka warahisishe ili mje kutuua huku mtaani. Komaa nyambafu or else acha. Kozi za afya mmeziparamia kukimbilia ajira na uwezo wenu ni wa chini.
Mtaala ubadirishwe kisa MTU mmoja mpumbavu aliyefeli?
Mkuu unamaanisha mwenye digrii ya Political Science au Kiswahili anaweza kudahiliwa kusoma digrii ya Udaktari Marekani?
Mtindo ni huo huo USA kusomea sheria wanapenda hata uwe na digrii ya geography ilimradi tu una digrii fulani hata ya udaktari wa binadamu basi utaweza kusoma digrii ya sheria maana utakuwa na uelewa mpana wa mambo ukiwa wakili .require the completion of a four-year pre-med undergraduate degree in a relevant subject and require you to demonstrate your scientific knowledge in areas of Biology, general Chemistry and organic Chemistry. For this reason, many students choose to take undergraduate Biology or Chemistry programmes
Chizi ww madaktari wa zamani kabla ya smartphone walikuwa wanafanyaje kazi yaani ukae darasani miaka mitano halafu u Google dalili Tanzania sio nchi ya kukaa ngoja nikusanye hela niondoke kwa ufala huu unatetea ujinga vipi na mimi niki Google nikienda pharmacy kununua dawa hospital ataenda naniAcha ushamba !!
Huwezi kalili kila kitu sio hesabu iyo na hakuna formula
Yes!! Acha agoogle jinsi anavogoogle daktari ni tofauti na wewe yeye anajua anatafuta nini sehemu sahihi ya kupata correct infos.
Wakati mwingne daktari anaingia medscape kuchek dose sio kosa…au
Kuna muda anawasha simu ili atumie calculator aweze kutoa dose kwa usahihi,,whats the problem
Mbona wazungu wako honest anamwambia mgonjwa hiki nmesahau kidogo ngoja niangalie kene files
Hapana!!! Aliyetokea Diploma ndio anakuwa yuko vizuri, maana tayari anakuwa na taaluma na uzoefu. Na ikumbukwe tu kuwa mhitimu wa Diploma anaweza kuajirika ama kujiajiri hapo alipo.U
Uelewa wa aliyetoka kidato Cha 6 huwa ni mkubwa sna
Sio kama aache kusoma ni ana hoja ya msingi, mimi pia niliupenda udaktari lakini nimeukacha kwasababu ya muda unasoma unazeekea shuleni[emoji38] ,Unataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?
Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Case closed!!!!Elimu inayoeleweka duniani ni katika mpangilio huu : kutoka primary kwenda secondary kwenda high school au advanced na kwenda chuo kikuu.
Mfumo wa kupitia astashahada( certificate) au stashahada( diploma) ni mfumo ulioandaliwa kwa ajili ya wale walioshindwa kuendana na mfumo wa kawaida na aghalabu wanakuwa wamefeli.
Kutokea kidato Cha sita au high school ni mfumo unatambulika dunia nzima kumuanda mwanafunzi kwa masomo ya chuo kikuu. Mwanafunzi aliyetoka advance na kwenda chuo anakuwa competent sana na mwenye uwezo na uelewa mkubwa sana darasani kutokana na kwamba masomo ya advance yanamuandaa mtu kukabiliana na mfumo wa masomo ya Elimu ya juu.
Hayo muhitimu wa 4m 6 atayakuta chuoni tena ngazi ya degree. Hao wa Diploma watajijei.Mkuu hujanishawishi.
Unamaanisha kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu yuko sawa na kidato cha 6 mwenye Diploma ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu anajuwa yafuatayo?
1. Pharmacology.
2. Surgery.
3. Anatomy and Physiology.
4. Medical Psychology.
5. Lab Technics.
6. Pathology (Bacteriology & Virology).
Hapo 1- 6 namaanisha je, mhitimu wa kidato cha 6 anajuwa kuandika dawa? Je, anajuwa upasuaji mdogo? Je, anajuwa kusoma ripoti za Maabara? Je, anajuwa kushona nyuzi? Je, anajuwa kudunga sindano? Je, anajuwa kuzalisha mjamzito? Je, anajuwa kuweka dripu?
Wenye Diploma ya Utabibu wakienda Digrii ya Udaktari wapunguziwe miaka ya kozi.
Mmeanzaa nyie Diploma wa Engineering, kumbe hamna kitu. PCM/ PGM Ziliwabwagaaa lolBro yani umeenda OP kabisa... kozi nyingi za engineering zinakua miaka 4 kusoma kama umepitia advance, kama ulipita diploma basi unatosoma miaka 3. Na hio ya advance sio dunia nzima... Kenya tu hapo ukimaliza form 4 unaenda college. Nchi kama marekani wana high-school ambapo ndio unapata high-school-diploma. Na kwa uzoefu wangu, waajili wengi wanaoajili freshers wanakwambia waliopitia diploma wanakuaga na ujuzi zaidi katika kazi kuliko wale walitokea A-level, kwa upande wa engineering.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boraa umuambiee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utatokaje kidato cha 6 kwenda diploma? Maana yake wewe kidato cha 6 ulifeli.
Full stop.Uzoefu wenu upo kwenye ngazi ya chini ya uelewa, hata kuruhusiwa kusoma degree ni favour tu mmepewa.....ila kimsingi anayeruhusiwa kusoma degree kwa Tanzania ni aliyefuzu masomo ya A-level.
Acha uongoo wako hapa, huoni aibuu khaaah.Wako wengi wa kidato cha 6 waliofaulu vzr sana tu ambao wanasoma Diploma kwy fani mbalimbali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanazitamani Degree, na uwezo hawanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imbombo ngafu; Diploma wanataka kupangua meza. Diploma ninyi mpo NACTE huko mnasheria zenu na sisi tupo TCU tunasheria zetu.
Ni huruma tu; hamkutakiwa hata kujiunga degree; mlitakiwa msome Advanced Diploma.
Hukuutaka u Dr bhanaa, km kwelii naamini ungesoma tyuuh.Sio kama aache kusoma ni ana hoja ya msingi, mimi pia niliupenda udaktari lakini nimeukacha kwasababu ya muda unasoma unazeekea shuleni[emoji38] ,
Hamna kitu elimu yetu ya kibongo haimpimi vzr mwanafunzi uelewa kwenda 6 sio kwambaa ndo anajuaaU
Uelewa wa aliyetoka kidato Cha 6 huwa ni mkubwa sna
Hapo kwenye Co wanatakiwa wapunguziwe miaka kwasababu wanakuwa Wana uzoefu na wamejitunza mengi Yale ya MD ISIPOKUWA UPASUAJI MKUBWA TU ILA MAGONJWA AU DIAGNOSIS hazibadiliki ila treatment Zina change kutokana na updates ambazo wote watazosoma Kwa guidelinesMkuu hujanishawishi.
Unamaanisha kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu yuko sawa na kidato cha 6 mwenye Diploma ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 bila Diploma ya Utabibu anajuwa yafuatayo?
1. Pharmacology.
2. Surgery.
3. Anatomy and Physiology.
4. Medical Psychology.
5. Lab Technics.
6. Pathology (Bacteriology & Virology).
Hapo 1- 6 namaanisha je, mhitimu wa kidato cha 6 anajuwa kuandika dawa? Je, anajuwa upasuaji mdogo? Je, anajuwa kusoma ripoti za Maabara? Je, anajuwa kushona nyuzi? Je, anajuwa kudunga sindano? Je, anajuwa kuzalisha mjamzito? Je, anajuwa kuweka dripu?
Wenye Diploma ya Utabibu wakienda Digrii ya Udaktari wapunguziwe miaka ya kozi.
Soma kinacholingana na akili yako kwann kulazimisha kusoma udaktari?Tujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?
Aidha, kwanini mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada? Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa?
Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.