Nyie ndo wale wale. Ebu nisaidie hapa. Mtu aliyemaliza 6 na alikua anasoma HKL. Hgk. Hgl halafu akawa ameenda kusoma kozi za soshology. Political science. Sheria haya masomo hayana application yoyote hapo. Na hapa ndo unaona mfumo wetu ulivyo na mapungufu makubwa sana.Uzoefu wenu upo kwenye ngazi ya chini ya uelewa, hata kuruhusiwa kusoma degree ni favour tu mmepewa.....ila kimsingi anayeruhusiwa kusoma degree kwa Tanzania ni aliyefuzu masomo ya A-level.
PCM/PGM sindo zinawabwaga sana watu waliopita advance? Mm sijapita advance... nilichaguliwa kusoma diploma ktk selections kutoka form 4. Na tuliochaguliwa wote tulikua division 1 na 2. Na ni wenye minimum ya "B" katika masomo ya phys-maths... waliapply wengi walitokea advance, waliopigwa na izo PCMs...Mmeanzaa nyie Diploma wa Engineering, kumbe hamna kitu. PCM/ PGM Ziliwabwagaaa lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Suala hili linaniwazisha sana kwenda bachelorTujadiliane.
Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?
Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?
Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?
Aidha, kwanini mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada? Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa?
Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.
Nafkiri ndio iko ivo, atleast kwa chuo nilichosomea mmKwa engineering ili upunguziwe miaka kutoka minne had mitatu kwa kusomea degree, lazima uendelee kusoma chuo hicho hcho kilichokupa diploma bila hivo minne inakuhusu.
Sasa aliyetoka advance asiende degree ila aende Diploma ndo faida? Au sijaelewa, au wee umekosea kuuliza??PCM/PGM sindo zinawabwaga sana watu waliopita advance? Mm sijapita advance... nilichaguliwa kusoma diploma ktk selections kutoka form 4. Na tuliochaguliwa wote tulikua division 1 na 2. Na ni wenye minimum ya "B" katika masomo ya phys-maths... waliapply wengi walitokea advance, waliopigwa na izo PCMs...
And tuwe tu wakweli, kuna faida gani kwa mtu aliesoma advance akaenda degree kuliko kwa aliepiga diploma ndo aende degree?
Sent using Jamii Forums mobile app
Namaanisha kati ya aliesoma degree kutokea form 6 na alietokea form 4, kupitia diploma nani anafaida zaidi?Sasa aliyetoka advance asiende degree ila aende Diploma ndo faida? Au sijaelewa, au wee umekosea kuuliza??
Ukitoka advance ukarud diploma inamaanisha kua ulifail, sindio? Au either unataka tu kusoma course ingine... mfano kuna huyu mwanafunzi mmoja tulikua nae chuo, yeye alisoma advance akafaulu kiwango cha kuweza kusoma MD, na alipata chuo private mwanza. Ila hakuenda akaaply diploma kusomea mambo ya mafuta... so wengine unakuta ni malengo tu.Sasa aliyetoka advance asiende degree ila aende Diploma ndo faida? Au sijaelewa, au wee umekosea kuuliza??
Wote wana faida, kwa sababu huyu wa 4m 6 ni fresher ko lazima aingie degree, ila wa diploma sema anakua na maarifa zaidi ya huyu wa 4m 6, coz kuna vitu anakua ashapitia.Namaanisha kati ya aliesoma degree kutokea form 6 na alietokea form 4, kupitia diploma nani anafaida zaidi?
Sector za engineering hazihitaji ujuzi wa theory nyingi ndiomaana freshers hua wanaflop vibaya mno...
Sent using Jamii Forums mobile app
MD km n mwanza means ni Bungando,, Mtu wa PCB anasoma Petroleum Eng? Tangu lini mbna sijui.Ukitoka advance ukarud diploma inamaanisha kua ulifail, sindio? Au either unataka tu kusoma course ingine... mfano kuna huyu mwanafunzi mmoja tulikua nae chuo, yeye alisoma advance akafaulu kiwango cha kuweza kusoma MD, na alipata chuo private mwanza. Ila hakuenda akaaply diploma kusomea mambo ya mafuta... so wengine unakuta ni malengo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yea. So huna haja ya ku-criticize watu kupitia diploma haha... mm hata nikiwa na mtoto baadae mifumo ya elimu ikiendelea kua ivi bado nitampitisha diploma. Depending na fani yake lakin...Wote wana faida, kwa sababu huyu wa 4m 6 ni fresher ko lazima aingie degree, ila wa diploma sema anakua na maarifa zaidi ya huyu wa 4m 6, coz kuna vitu anakua ashapitia.
MD CUHAS ndo alipata nafasi. Na diploma aliapply kwa cheti cha form 4.... na course ni "oil, pipes and gas eng" petroleum engineering nafkir kwa nchi yetu hatuna, au bado ni course changa...MD km n mwanza means ni Bungando,, Mtu wa PCB anasoma Petroleum Eng? Tangu lini mbna sijui.
Hebu nijuze zaidi hapaa.
Petroleum Eng, ipo tangu mda sana hapa nchini, UDSM, MUST.MD CUHAS ndo alipata nafasi. Na diploma aliapply kwa cheti cha form 4.... na course ni "oil, pipes and gas eng" petroleum engineering nafkir kwa nchi yetu hatuna, au bado ni course changa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sija criticize watu kusoma Diploma, ila nimekataa wazo la OP kuwa Diploma wakiwa wanasoma Degree wapunguziwe miaka.Yea. So huna haja ya ku-criticize watu kupitia diploma haha... mm hata nikiwa na mtoto baadae mifumo ya elimu ikiendelea kua ivi bado nitampitisha diploma. Depending na fani yake lakin...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni malengo tu. Watu wengi wanasoma mpaka shule itakapowapeleka, hawana malengo... yy as long as kachaguliwa course flani anaenda tu..Petroleum Eng, ipo tangu mda sana hapa nchini, UDSM, MUST.
CUHAS ndo Bugando. Aaaah ouk alitumia cheti cha 4M 4, but huyu kuna kitu hapo kati hakuweka sawa, to be the honest.
Labda pia malengo nweii.
Hahah... hata katika historia ya matibabu utaona madaktari wengine walikua wanakaa na vitabu. Baadh ya case zikija wanafunua vitabu. So kugoogle sio kitu cha kushangaza, mtu asie na ujuzi na udaktari hata ukimwambia agoogle hajui agoogle nnHizo dose unatakiwa uwe nazo kichwani. Ndio maana ukasoma miaka Sita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si wanachagua wenyewee.Ni malengo tu. Watu wengi wanasoma mpaka shule itakapowapeleka, hawana malengo... yy as long as kachaguliwa course flani anaenda tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unatafuta nini huko mtandaoni kama unatafuta Guidelines za WHO au MoH, CDC sawa.Hahah... hata katika historia ya matibabu utaona madaktari wengine walikua wanakaa na vitabu. Baadh ya case zikija wanafunua vitabu. So kugoogle sio kitu cha kushangaza, mtu asie na ujuzi na udaktari hata ukimwambia agoogle hajui agoogle nn
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani vijana hatuaminiwi kabisa... [emoji1787][emoji1787]Inategemea unatafuta nini huko mtandaoni kama unatafuta Guidelines za WHO au MoH, CDC sawa.
Ila haitopendeza ufanye mbele ya mgonjwa, lazima atapata mashaka.
Na tena ukiwa ni kijana. Hakuna imani kabisa.
Huo mda wanao basi wao wanataka wakiwa online wanaangalia umbea kwa kina mwinjaku na diamond YouTube basi.Hizo dose unatakiwa uwe nazo kichwani. Ndio maana ukasoma miaka Sita.
+ Uzoefu
+ Unajisomea kila unapopata muda.
Tatizo linaanzia hapo.Huo mda wanao basi wao wanataka wakiwa online wanaangalia umbea kwa kina mwinjaku na diamond YouTube basi.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app