witzone2
JF-Expert Member
- Jan 14, 2022
- 797
- 1,739
Nyie ndo wale wale. Ebu nisaidie hapa. Mtu aliyemaliza 6 na alikua anasoma HKL. Hgk. Hgl halafu akawa ameenda kusoma kozi za soshology. Political science. Sheria haya masomo hayana application yoyote hapo. Na hapa ndo unaona mfumo wetu ulivyo na mapungufu makubwa sana.Uzoefu wenu upo kwenye ngazi ya chini ya uelewa, hata kuruhusiwa kusoma degree ni favour tu mmepewa.....ila kimsingi anayeruhusiwa kusoma degree kwa Tanzania ni aliyefuzu masomo ya A-level.
Kenya hawana mfumo wa 6 lakin wahitimu wao wa degree Wana elewa vitu vingi kutuzidi sisi tulip na 6