Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

Mtaala wa Udaktari Udurusiwe

Uzoefu wenu upo kwenye ngazi ya chini ya uelewa, hata kuruhusiwa kusoma degree ni favour tu mmepewa.....ila kimsingi anayeruhusiwa kusoma degree kwa Tanzania ni aliyefuzu masomo ya A-level.
Nyie ndo wale wale. Ebu nisaidie hapa. Mtu aliyemaliza 6 na alikua anasoma HKL. Hgk. Hgl halafu akawa ameenda kusoma kozi za soshology. Political science. Sheria haya masomo hayana application yoyote hapo. Na hapa ndo unaona mfumo wetu ulivyo na mapungufu makubwa sana.

Kenya hawana mfumo wa 6 lakin wahitimu wao wa degree Wana elewa vitu vingi kutuzidi sisi tulip na 6
 
Mmeanzaa nyie Diploma wa Engineering, kumbe hamna kitu. PCM/ PGM Ziliwabwagaaa lol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
PCM/PGM sindo zinawabwaga sana watu waliopita advance? Mm sijapita advance... nilichaguliwa kusoma diploma ktk selections kutoka form 4. Na tuliochaguliwa wote tulikua division 1 na 2. Na ni wenye minimum ya "B" katika masomo ya phys-maths... waliapply wengi walitokea advance, waliopigwa na izo PCMs...
And tuwe tu wakweli, kuna faida gani kwa mtu aliesoma advance akaenda degree kuliko kwa aliepiga diploma ndo aende degree?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tujadiliane.

Mhitimu wa Stashahada ya Utabibu (miaka 2) na pengine aliye na uzoefu wa kazi, kwanini akienda kusoma Udaktari kamili (ngazi ya Shahada) asipunguziwe miaka ya masomo toka 5 kurudi chini?

Anapolazimika kusoma miaka 5 sawa na mhitimu wa kidato cha 6 ina maana mtaala wa kidato cha 6 ndiyo huo huo mtaala wa Stashahada ya Utabibu?

Je, kidato cha 6 yuko sawa na mwenye Stashahada ya Utabibu kwamba wote hao wawili wasome miaka na mtaala unaofanana wa Shahada ya Udaktari chuo kikuu?

Aidha, kwanini mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada? Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa?

Wabunge mlione hili kwa jicho la 3.
Suala hili linaniwazisha sana kwenda bachelor
 
PCM/PGM sindo zinawabwaga sana watu waliopita advance? Mm sijapita advance... nilichaguliwa kusoma diploma ktk selections kutoka form 4. Na tuliochaguliwa wote tulikua division 1 na 2. Na ni wenye minimum ya "B" katika masomo ya phys-maths... waliapply wengi walitokea advance, waliopigwa na izo PCMs...
And tuwe tu wakweli, kuna faida gani kwa mtu aliesoma advance akaenda degree kuliko kwa aliepiga diploma ndo aende degree?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa aliyetoka advance asiende degree ila aende Diploma ndo faida? Au sijaelewa, au wee umekosea kuuliza??
 
Namaanisha kati ya aliesoma degree kutokea form 6 na alietokea form 4, kupitia diploma nani anafaida zaidi?
Sector za engineering hazihitaji ujuzi wa theory nyingi ndiomaana freshers hua wanaflop vibaya mno...

Ukitoka advance ukarud diploma inamaanisha kua ulifail, sindio? Au either unataka tu kusoma course ingine... mfano kuna huyu mwanafunzi mmoja tulikua nae chuo, yeye alisoma advance akafaulu kiwango cha kuweza kusoma MD, na alipata chuo private mwanza. Ila hakuenda akaaply diploma kusomea mambo ya mafuta... so wengine unakuta ni malengo tu.

Wote wana faida, kwa sababu huyu wa 4m 6 ni fresher ko lazima aingie degree, ila wa diploma sema anakua na maarifa zaidi ya huyu wa 4m 6, coz kuna vitu anakua ashapitia.
 
MD km n mwanza means ni Bungando,, Mtu wa PCB anasoma Petroleum Eng? Tangu lini mbna sijui.

Hebu nijuze zaidi hapaa.
 
Yea. So huna haja ya ku-criticize watu kupitia diploma haha... mm hata nikiwa na mtoto baadae mifumo ya elimu ikiendelea kua ivi bado nitampitisha diploma. Depending na fani yake lakin...

MD CUHAS ndo alipata nafasi. Na diploma aliapply kwa cheti cha form 4.... na course ni "oil, pipes and gas eng" petroleum engineering nafkir kwa nchi yetu hatuna, au bado ni course changa...

Petroleum Eng, ipo tangu mda sana hapa nchini, UDSM, MUST.
CUHAS ndo Bugando. Aaaah ouk alitumia cheti cha 4M 4, but huyu kuna kitu hapo kati hakuweka sawa, to be the honest.

Labda pia malengo nweii.
 
Yea. So huna haja ya ku-criticize watu kupitia diploma haha... mm hata nikiwa na mtoto baadae mifumo ya elimu ikiendelea kua ivi bado nitampitisha diploma. Depending na fani yake lakin...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sija criticize watu kusoma Diploma, ila nimekataa wazo la OP kuwa Diploma wakiwa wanasoma Degree wapunguziwe miaka.
 
Petroleum Eng, ipo tangu mda sana hapa nchini, UDSM, MUST.
CUHAS ndo Bugando. Aaaah ouk alitumia cheti cha 4M 4, but huyu kuna kitu hapo kati hakuweka sawa, to be the honest.

Labda pia malengo nweii.
Ni malengo tu. Watu wengi wanasoma mpaka shule itakapowapeleka, hawana malengo... yy as long as kachaguliwa course flani anaenda tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo dose unatakiwa uwe nazo kichwani. Ndio maana ukasoma miaka Sita.
Hahah... hata katika historia ya matibabu utaona madaktari wengine walikua wanakaa na vitabu. Baadh ya case zikija wanafunua vitabu. So kugoogle sio kitu cha kushangaza, mtu asie na ujuzi na udaktari hata ukimwambia agoogle hajui agoogle nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah... hata katika historia ya matibabu utaona madaktari wengine walikua wanakaa na vitabu. Baadh ya case zikija wanafunua vitabu. So kugoogle sio kitu cha kushangaza, mtu asie na ujuzi na udaktari hata ukimwambia agoogle hajui agoogle nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea unatafuta nini huko mtandaoni kama unatafuta Guidelines za WHO au MoH, CDC sawa.
Ila haitopendeza ufanye mbele ya mgonjwa, lazima atapata mashaka.

Na tena ukiwa ni kijana. Hakuna imani kabisa.
 
Back
Top Bottom