Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Mwenye cheti cha utabibu anaitwa assistant clinical officerAlafu eti mhitimu wa Cheti cha Utabibu anaitwa jina moja la CO (Clinical Officer) yaani Tabibu sawa na mhitimu wa Stashahada ya Utabibu! Ina maana mtaala wa Cheti cha Utabibu na mtaala wa Stashahada ya Utabibu vinalingana kwenye maudhui? Cheti na Stashahada vina hadhi sawa? Baghosha Tz!
Wabunge mliwashe kieleweke.
Mwenye diploma ya utabibu anaitwa clinical officer.
Utendaji kazi ni ule ule hauna tofauti yoyote tofauti ipo katika vyeo tu