Mtaalam huyu kanisaidia sana mtafuteni

Mtaalam huyu kanisaidia sana mtafuteni

Domy

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
4,700
Reaction score
1,087
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709
 
Amekusaidia nini Domy huyu mtaalam wa miti shamba mpaka ukaona uweke na namba yake kabisa, na je umepata ruhusa yake ya kuweka No hapa. Au wewe ni marketing manager wake manake siku hizi wanaweza sana kufanya matangazo
 
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709

Kwa hiyo apigiwe tu simu bila kujua yeye ni mtaalam wa magonjwa yapi?..hebu kajipangeni upya!..
 
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709

Nani amekuruhusu kuweka number yagu ya simu hapa wakati matibabu yangu natoa kwa siri
 
Mkuu mii nataka utajiri! Huyo fundi wako vp!
 
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709

Heeee amekusaidia sana nini ?????
au ndo wewe unatafuta Wateja
 
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709

:typing:
 
Mbona nimeangalia nimeona ni jina lako?
 
Sio huyu mwanasheria wa serikali kweli? aisee kweli atakusaidia kuescrow kiulainiiiii.....
 
Back
Top Bottom