Mtaalam: Mwanaume yoyote ukijigundua tu kuwa una kisukari jua ulishaanza au umeshaanza 'kuchapiwa' mkeo/ demu wako

Ndugu yangu nikwambie kitu, muombe Mungu sana wewe au mtu wa karibu kwako asijepata hili tatizo..nawafaham watu waliokua very active in life still wakapata diabetes before age 40.. Usiwadhihaki kabisa...suala la kuchapiwa mtu yeyote yule anaweza kuchapiwa, hata athletes..nakuonea huruma kua there will come a day utatamani umeze maneno haya na itakua too late...kumbuka tomorrow is a mystery to all of us
 

Yaonekana Wewe ni Mgeni wa GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums Mkuu na pole sana kwa Kukwazika na Uwasilishaji wangu. Naomba nikusaidie tu Mkuu kwa kukuambia ya kwamba huwa napenda Kuanzisha Mada yenye Mantiki na Umuhimu lakini katika Kuifanya iwe na ' Uchangamfu ' wa Kimjadala na kupata michango mingi huwa napenda ' Kuchokoza ' ila sina nia mbaya yoyote Mkuu. Nina Ndugu zangu kadhaa nao sasa wanaugua huo Ugonjwa. Naomba Radhi Kwako / Kwenu kama Uwasilishaji wangu mmeuopokea kwa Mtizamo huo Hasi.
 
😁😀😂🤣😃😄😅
Baelezee Bhaelewe
Bhatalokota Kunyavu
 
Tangia utolewe marinda unaandika mambo ya kipopoma tu!
 
HIVI WANAWAKE UNAWAFAHAMU VIZURI AU ? Mtu haishi kwa mkate tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…