Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu nikwambie kitu, muombe Mungu sana wewe au mtu wa karibu kwako asijepata hili tatizo..nawafaham watu waliokua very active in life still wakapata diabetes before age 40.. Usiwadhihaki kabisa...suala la kuchapiwa mtu yeyote yule anaweza kuchapiwa, hata athletes..nakuonea huruma kua there will come a day utatamani umeze maneno haya na itakua too late...kumbuka tomorrow is a mystery to all of usTukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu wa 'kitajiri' mnaojisifu nao.
Sasa ni rasmi kuwa 99.999% ya wanaume wanaougua kisukari huwa 'wanachapiwa' sana wake zao kwakuwa mwanaume akishakuwa tu na hilo tatizo uwezo wake wa kusimamisha uume inavyotakiwa.
Unakutana na mwanaume mzima uko nae ndani ya Daladala nae anamuita kondakta tena bila aibu kabisa na uso wake ukiwa mkavu akimwomba amshushie kituo cha msaada ili mradi tu asitembee umbali mrefu na aweze kufika kwake bila kutokwa na jasho lolote lile.
Hivi mimi GENTAMYCINE ambaye naishi Pugu mnadhani huwa nakuwa ''Popoma'' pale nikipanda zangu Daladala Kariakoo kisha nikifika pale TAZARA nashuka kisha naanza kutembea kwa miguu hadi nafika maghetoni kwangu Pugu? na kwa wanaume wengi kutopenda kufanya mazoezi 'mtachapiwa' mno hadi mkome.
Kwa uhondo kamili wa hili tatizo la ugonjwa wa kisukari linalopelekea wanaume wengi wenye nao 'kuchapiwa' wake zao kwakuwa huwa wanakuwa hawana uwezo wa kusimamisha vyema minara yao ya Babeli na kulitendea vyema tendo la ngono, tafuta gazeti la leo la Tanzania Daima kwani huko mtaalam 'kafunguka' kinomanoma.
Ndugu yangu nikwambie kitu, muombe Mungu sana wewe au mtu wa karibu kwako asijepata hili tatizo..nawafaham watu waliokua very active in life still wakapata diabetes before age 40.. Usiwadhihaki kabisa...suala la kuchapiwa mtu yeyote yule anaweza kuchapiwa, hata athletes..nakuonea huruma kua there will come a day utatamani umeze maneno haya na itakua too late...kumbuka tomorrow is a mystery to all of us
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lakini mkuu si unajua mke wa mtu sumu au wewe huna huruma na marinda yako yenye mazoezi ?
Tangia utolewe marinda unaandika mambo ya kipopoma tu!Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu wa 'kitajiri' mnaojisifu nao.
Sasa ni rasmi kuwa 99.999% ya wanaume wanaougua kisukari huwa 'wanachapiwa' sana wake zao kwakuwa mwanaume akishakuwa tu na hilo tatizo uwezo wake wa kusimamisha uume inavyotakiwa.
Unakutana na mwanaume mzima uko nae ndani ya Daladala nae anamuita kondakta tena bila aibu kabisa na uso wake ukiwa mkavu akimwomba amshushie kituo cha msaada ili mradi tu asitembee umbali mrefu na aweze kufika kwake bila kutokwa na jasho lolote lile.
Hivi mimi GENTAMYCINE ambaye naishi Pugu mnadhani huwa nakuwa ''Popoma'' pale nikipanda zangu Daladala Kariakoo kisha nikifika pale TAZARA nashuka kisha naanza kutembea kwa miguu hadi nafika maghetoni kwangu Pugu? na kwa wanaume wengi kutopenda kufanya mazoezi 'mtachapiwa' mno hadi mkome.
Kwa uhondo kamili wa hili tatizo la ugonjwa wa kisukari linalopelekea wanaume wengi wenye nao 'kuchapiwa' wake zao kwakuwa huwa wanakuwa hawana uwezo wa kusimamisha vyema minara yao ya Babeli na kulitendea vyema tendo la ngono, tafuta gazeti la leo la Tanzania Daima kwani huko mtaalam 'kafunguka' kinomanoma.
HIVI WANAWAKE UNAWAFAHAMU VIZURI AU ? Mtu haishi kwa mkate tu.Tukiwa tunawaambieni kuwa pendeni kufanya mazoezi na acheni 'kufakamia' mivyakula yenu hiyo ya mafuta mafuta na kuishi kwa 'kubweteka' na mfanye sana mazoezi ili muwe 'fiti' kiafya kama akina GENTAMYCINE, huwa hamtuelewi na wengine mkidhani kuwa labda tunakuwa tunawaonea wivu na huo ulaji wenu wa 'kitajiri' mnaojisifu nao.
Sasa ni rasmi kuwa 99.999% ya wanaume wanaougua kisukari huwa 'wanachapiwa' sana wake zao kwakuwa mwanaume akishakuwa tu na hilo tatizo uwezo wake wa kusimamisha uume inavyotakiwa.
Unakutana na mwanaume mzima uko nae ndani ya Daladala nae anamuita kondakta tena bila aibu kabisa na uso wake ukiwa mkavu akimwomba amshushie kituo cha msaada ili mradi tu asitembee umbali mrefu na aweze kufika kwake bila kutokwa na jasho lolote lile.
Hivi mimi GENTAMYCINE ambaye naishi Pugu mnadhani huwa nakuwa ''Popoma'' pale nikipanda zangu Daladala Kariakoo kisha nikifika pale TAZARA nashuka kisha naanza kutembea kwa miguu hadi nafika maghetoni kwangu Pugu? na kwa wanaume wengi kutopenda kufanya mazoezi 'mtachapiwa' mno hadi mkome.
Kwa uhondo kamili wa hili tatizo la ugonjwa wa kisukari linalopelekea wanaume wengi wenye nao 'kuchapiwa' wake zao kwakuwa huwa wanakuwa hawana uwezo wa kusimamisha vyema minara yao ya Babeli na kulitendea vyema tendo la ngono, tafuta gazeti la leo la Tanzania Daima kwani huko mtaalam 'kafunguka' kinomanoma.
Tazara hadi Pugu utakuwa unauza karangaNaanze Kwanza ' Kuchapiwa ' Mkuu wakati kila Siku natembea kwa Miguu ( Ngoti ) kutoka TAZARA hadi Kwangu Gheto Pugu?
True thatKwahiyo unafanya mazoezi ili usije chapiwa? Labda tu kama ulimkuta bikra ndo ukamuoa.
Na kama ulimkuta bikra, na ukamla kabla ya ndoa, basi hayo mazoezi hayatakusaidia.