Mtaalam wa Kijeshi: Harmonize ametuaibisha Makomandoo kwani alitua Kishamba na Kizembe kama gunia la viazi mbatata

Vijana wanapenda kuiga wasiyoyaweza. Yeye anafikir kupita kwenye rola ni jambo la kitoto.
Askar mwenyew mpaka kufikia hatua ya kupita kwenye Kamba au parachut kuna mazoez ya muda mrefu yamefanyika..

Kwanza kuna kutengeneza nguvu za mikono zitakazokuwezesha kuhimini uzito Wa mwili wako, kuna kutengeneza ukakamavu yaani kutoyumbayumba na kutengeneza ujasiri Wa kutoogopa umbali toka juu ya Kamba mpaka chini.

Sasa huyu mtoto wa mama mla mayai yasiyo na shahawa ya jogoo na Kuku wa kukuzwa na taa sijui kama alifanya hayo maandali..

Vijana wanakimbilia kujifanya wanajeshi, Mara ooh kamanda Mara mtu katupia nguo za kijeshi lakn hawajui kuwa ile nguo wenzao wameipata kwa jasho na damu..
 
Ile kamba iliwekwa kwa matumizi ya siku hiyo au huwa ipo?

Harmonizi aliyekimbia siku ile @napennawiya anatishiwa ile bastola ndo huyo huyo wa kwenye kamba au baada ya tukio la nape alienda kusomea ukomando.


Hamonize hivi alianzaje au alitumia nguvu za giza jamani semeni ukweli. Wanavyosema wamakonde hata ukimwachia nyumba au shamba akulindie hauji kupajua tena nimeamini juzi.
 
Aliyekimbia ile bastola ni HARMORAPA [emoji1] [emoji1]
 
Hiki kitakuwa cha Arusha tu lazima!!
 
Mkuu Kuna mtu alilegeza kamba ndio maana akadondoka
 
Pamoja sana mkuu. Nimekuwa nikipitia shombo za watu wengi mitandaoni wakimbeza Harmonize kwa alichokifanya. Ila nimegundua wengi hawajui uhalisia wa kile alichokifanya "Konde boy".

"Konde boy" alijirisk sana, na nampa hongera alifanikiwa kwa kiwango kikubwa. Humu ndani kwenyewe(kwa watu wa medani) kile kitu hufanywa na watu wachache sana tena ambao hufanya mazoezi ya kuridhisha kabla ya tukio/ushereheshaji husika. Isipokuwa wale jamaa zangu wa unit 92, wale ni maisha yao hayo mavurugu ni kuwashtua tu wanafanya na inaisha kibabe, Maana pale hizo mambo ni kama salamu tu, shikamoo....marhaba!

Konde asibezwe, amejitahidi sana. Hongera kwake.
 
wangapi wamefika kwenye kazi zao za sanaa? wewe kama ni muoga muache yeye afanye
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…