Mtaalam wa Kijeshi: Harmonize ametuaibisha Makomandoo kwani alitua Kishamba na Kizembe kama gunia la viazi mbatata

Hana akili hajui kama yule ni msanii and nothing else?ningemjua ningemshughulikia kwa kutoa maoni ya kudhalilisha ufahamu na kujitambua kama mwanajeshi!
 
Hana akili hajui kama yule ni msanii and nothing else?ningemjua ningemshughulikia kwa kutoa maoni ya kudhalilisha ufahamu na kujitambua kama mwanajeshi!

Unaposema huyu Mtaalam wa Kijeshi kuwa hana 'Akili' Wewe Mwenyewe unahisi kwa huu 'Upuuzi' wako uliouandika hapa nawe Kichwani zimejaa?
 
Hakua mwanajeshi,Ila kajitahidi,apewe nafasi ya KJT akajitolee.
 
Hakua mwanajeshi,Ila kajitahidi,apewe nafasi ya KJT akajitolee.

Angefariki dunia kisha Kumuacha Sarah wake, Familia yake, Ukoo wake wa Kimakonde na Wanaomtegemea Kimaisha bado tu mngeyasema haya?
 
Tujifunze kusikiliza na kuelewa!!! Jaribu kuusikikiza upya wimbo wa HARMO aliyoiimbia YANGA.

Kuna sehemu inazungumzia kuanguka.
 
Tujifunze kusikiliza na kuelewa!!! Jaribu kuusikikiza upya wimbo wa HARMO aliyoiimbia YANGA.

Kuna sehemu inazungumzia kuanguka.

Sina muda wa Kuusikiliza Wimbo wa Msanii ambaye 'amejinyea' Kwa Mkapa juzi wakati 'akijaribu' Kuwaiga 'COMMANDO' sawa Mkuu? Na sithubutu!
 
Dah nilikuwa sijaona imebidi niende YouTube. Alivyodondoka kweli ni kama gunia la mbatata! Hadi kofia ikadondoka hahahahaa!

Wale maafisa wanavyomkimbilia na kumhudumia tu unapata majibu kwamba hawezi rudia tena!
 
Gentamycine daaah nimecheka sana
 
Alikuwa na nia njema ila inaonekana hakufanya rehearsal ya kutosha...
 
Mikia jana mmeteseka sana,yaani mtu unashindwa hata kumhudumia mume wako usiku huu unaanzisha uzi?jitahidini kulea ndoa wakinamama,wananchi wasiifanye ndoa iingie doa
Simba walizalisha 500M
Yanga walizalisha 300M
sasa hapo wivu upo kwa nani?
 
Sina muda wa Kuusikiliza Wimbo wa Msanii ambaye 'amejinyea' Kwa Mkapa juzi wakati 'akijaribu' Kuwaiga 'COMMANDO' sawa Mkuu? Na sithubutu!
"Amejinyea" " akijaribu" " commando" dogo Jeshi ameonesha ukomavu bravo kwake.

Mengine ni donge tu, jibu la Mwananchi ni nani limefumbuka.
 
Mjikite kwenye mambo yenu then tukutane uwanjani, tutajua mwisho wa kiherehere chenu.
 
Kumbe nawe ni bumunda fc pumbafu kabisa
 
mtakuja kumuua yule mtoto wakuu kupiga chuma na training ni vitu viwili tofautI ndio mana mwarabu fighter alichemka kupanda mlima kilimanjaro japo baunsa
 
Utakuwa Ni Marana wewe
 
Chukua chochote nakuja kukulipia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…