GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia tena kwa kutoa Machozi kabisa vinginevyo utahaira hautakuwa mbali nae, " amesema Mtaalam.
Wale mliosoma Moja ya Gazeti la Kiswahili la Wiki hii Siku ya Jumatatu au Jumanne la Nipashe au Majira nadhani mmekutana nayo hii Taarifa tata.
Sasa mbona hamliagi halafu pia hamjakua wendawazimu"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia tena kwa kutoa Machozi kabisa vinginevyo utahaira hautakuwa mbali nae, " amesema Mtaalam.
Wale mliosoma Moja ya Gazeti la Kiswahili la Wiki hii Siku ya Jumatatu au Jumanne la Nipashe au Majira nadhani mmekutana nayo hii Taarifa tata.
Sasa mbona hamliagi halafu pia hamjakua wendawazimu
Duuuh una machozi ya mchezoWenzako huwa tunalia takriban kila siku, tukisujudi kumuomba na kumshukuru Mungu katika shida na raha zetu.
Kulia kwa "reason" na sio kulia tu.
Naomba mifano ya uwendawazimu mkuuUwendawazimu gani?? Uwendawazimu sio kuokota makopo tu.
Kwani ule 'utafiti kuwa kila walipo Waswahili ( Watanzania ) Wanne basi Mmoja wapo ni Mwendawazimu hukuwahi Kuusikia wala Kukutana nao tu?Sasa mbona hamliagi halafu pia hamjakua wendawazimu
Mwaisela na Kibasila zote ni Muhimbili tu.Kulia machozi au unamaanisha kulia machozi ya kiutuzima?
Naomba mifano ya uwendawazimu mkuu
Bila shaka kuna wanaume wengi ambao huwa hawafanyi hivi(na Mimi nikiwemo ), sasa siwangekuwa wendawazimu.
Au huwa inachukua muda gani mpaka kupata huo Wenda wazimu?
Au hili swala ni jipya limeanza na hii mitano tena?...... Natania
Kuna Mzee Mmoja Yeye akiwa anatoka tu Kazini anampigia Simu Mkewe kumwambia amkute Uchi ili akifika tu auchomeke je, huu siyo Utahaira?Mfano, Baba anarudi nyumbani na hasira anapokelewa na mkewe halafu inatokea jambo dogo tu kama chumvi imezidi ndani ya mboga na hapohapo anaamua kumcharanga vibao mkewe.
Huo sio wendawazimu kwa wanaume???
Kuna Mzee Mmoja Yeye akiwa anatoka tu Kazini anampigia Simu Mkewe kumwambia amkute Uchi ili akifika auchomeke tu je, huu siyo Uwendawazimu?
Duuuh una machozi ya mchezo
Hawa wanasaikolojia walifanya tafiti kwa mabishoo wa type kama mc pilipili kisha wakaja na conclusion yao kutuhusisha wote hapo ndio walipo bugi
Matatizo au hasira haiondolewi kwa kulia na kulia huja automatic, mi mara nyingi nikicheka hua sana natokwa na machozi labda wahesabie hayo machozi kama kilio maana Watu tuna miaka hata hatujui lini tulilia na still tuko gado
πππππMfano, Baba anarudi nyumbani na hasira anapokelewa na mkewe halafu inatokea jambo dogo tu kama chumvi imezidi ndani ya mboga na hapohapo anaamua kumcharanga vibao mkewe.
Huo sio wendawazimu kwa wanaume???