Utasikia Kesho Lisu akisema niko wa mwisho jamani wa mwisho atakuwa wa kwanzaKila wanachokifanya kunaya dhidi ya Lissu, wananchi ndo wanazidi kumpenda.
Hata hili la sasa halitofanikiwa, Watu waangalie aama ya Vidole viwili tu tayari Lissu ataonekana
This year you will see different."GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Mkuu iyo ni kweli kabisa CCM wanatuona waTanzania maboya sana wanataka kututawala hadi fikra zetu,wanaamini wabongo bado ni wale wale kila siku, watajiona wajinga pale watu watapokuwa wanakimbilia kutick mgombea wa mwisho kabisa , au kutick kwa mzee Hashim Rungwe"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Wapo vizuri kwa fitna hadi wameamua kutumia psychologists ili kutushika akili , sema wamefail mambo yataenda vice versa wa mwisho ndo ataonekana wa kwanza, bora wangemweka hata katikati maana walivyoweka ni rahisi mgombea wa kwanza na wa mwisho kuonekana, ila pia nahisi kuna mbinu wanataka kutumia kupitia wasimamizi wa uchaguzi kufunika picha ya mtu wa mwisho virahisiSaikolojia ya Mzungu haiapply kwa mwafrica.....!!
You're very 'poor' Grammatically. Please next time just use our 'Kiswahili' and still you will be well understood by most of us. Try to 'edit' your post.This year you will see different.
Ndio ukweliSaikolojia ya Mzungu haiapply kwa mwafrica.....!!