Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
This year you will see different.
 
Mkuu iyo ni kweli kabisa CCM wanatuona waTanzania maboya sana wanataka kututawala hadi fikra zetu,wanaamini wabongo bado ni wale wale kila siku, watajiona wajinga pale watu watapokuwa wanakimbilia kutick mgombea wa mwisho kabisa , au kutick kwa mzee Hashim Rungwe
 
Saikolojia ya Mzungu haiapply kwa mwafrica.....!!
Wapo vizuri kwa fitna hadi wameamua kutumia psychologists ili kutushika akili , sema wamefail mambo yataenda vice versa wa mwisho ndo ataonekana wa kwanza, bora wangemweka hata katikati maana walivyoweka ni rahisi mgombea wa kwanza na wa mwisho kuonekana, ila pia nahisi kuna mbinu wanataka kutumia kupitia wasimamizi wa uchaguzi kufunika picha ya mtu wa mwisho virahisi
 
Back
Top Bottom