Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
Utasikia Kesho Lisu akisema niko wa mwisho jamani wa mwisho atakuwa wa kwanzaKila wanachokifanya kunaya dhidi ya Lissu, wananchi ndo wanazidi kumpenda.
Hata hili la sasa halitofanikiwa, Watu waangalie aama ya Vidole viwili tu tayari Lissu ataonekana