LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Wa mwisho atakuwa wa kwanza..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mende akikosa chakula anashinda chooni kwa elimu ya kisaikolojia nini kifanyike mende asishinde chooni 'Those who are tired of this regime they know how to go about on 28-10-2020'"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Ivi joni na hashim ipi inatanguliaHao ni wapiga kura wa zamani, wale vichwa vya kuku (wajinga), ambao hawajui wamchague nani mpaka wanaingia kituoni.
Siku hizi wananchi walio wengi wanayo elimu ya uraia, wameshafanya maamuzi mapema kabisa, ukiingia kituoni hata mgombea anayemtaka awe ukurasa wa tatu atatafutwa tu.
Kwahiyo NEC kama walidhani kumweka joni awe wa kwanza kutasaidia wamaulamba wa chuya.
Kwa joni wameanza na Dakta Joni 😀😀Ivi joni na hashim ipi inatangulia
Utashangaa sana siku ile mtu akifungua karatasi ya kura inageuka ile ya mwisho ndiyo inakuwa juuIsikutishe Hawa jamaa dhamira zao mbaya tumeshuhudia zikiwarudia wenyewe, kila walifanyalo linabuma
Siku ya kufa nyani miti yote hutelezaNEC wanajuta kwa nini hawakulikata jina na Lissu mapema!
Mimi naongea km mtaalamu wa ujasiriamali Unapotengena bango linatakiwa liseme nisome mimi nisome mimi pia likwambie ninunue mimi 'read me read me and buy me buy me'Ivi joni na hashim ipi inatangulia
Huyo ni mfagia uchafu mwandamizi Lumumba kitengo cha mapopoma.Huwa naelewa sana hoja zako mkuu, ila wewe utakua mtu wa "kitengo ".
Labda uwe natatizo la uti wa mgongoMi pamoja na mwansaikolojia mwenyewe anaweza akawa ameathilika na Tabia hiyo hivi kwa manyanyaso ya hii miaka mitano nishindwe kumtafa ninaye mtaka ambaye najua atanielewa ninataka nini
Kote nakubaliana na Wewe na nakushukuru Mkuu ila hapo unaposema tu kuwa Mimi ni Mtu wa 'Kitengo' umekosea na siyo kweli sipo huko 100%.Huwa naelewa sana hoja zako mkuu, ila wewe utakua mtu wa "kitengo ".
Nimemshangaa sana Jamaa yaani ameacha Kukutaja Wewe 'Mtu wa Kitengo' ambaye unajulikana na JF nzima eti ananihisi Mimi 'Popoma' kabisa.Kitengo cha JF?
Umesahau kabisa na Jukumu langu lingine hapo ambalo ni la Kuzibua Vyoo pia ndiyo maana nimemshangaa aliposema eti Mimi ni Mtu wa Kitengo.Huyo ni mfagia uchafu mwandamizi Lumumba kitengo cha mapopoma.
Hakuna mtaalam wa saikolojia hapo. Lakini pia na biblia inasema wa kwanza atakuwa wa mwisho."GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Hao ni wapiga kura wa zamani, wale vichwa vya kuku (wajinga), ambao hawajui wamchague nani mpaka wanaingia kituoni.
Siku hizi wananchi walio wengi wanayo elimu ya uraia, wameshafanya maamuzi mapema kabisa, ukiingia kituoni hata mgombea anayemtaka awe ukurasa wa tatu atatafutwa tu.
Kwahiyo NEC kama walidhani kumweka joni awe wa kwanza kutasaidia wamaulamba wa chuya.
Ninyi wawili wa kwanza kwa taarifa yako, bila kujali nafasi ya mgombea kwenye kura ya karatasi, kwa wagombea wa Urais Lissu amekwisha kupoteza kura za wafuatao, kutokana na kauli zake kwenye kampeni, nitarudi hapa ni kuwakumbusha:Kampeni ya kuufahamisha umma Lissu huko wapi katika hiyo karatasi inaweza ikaeleweka nchi nzima ndani ya nusu SAA tuu. Mchawi technology.
Tatizo wanaweza kubadili alafu akala mweleka. Yaani Hii kitu ni hataree
Sio kwa LISU"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.