Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Mende akikosa chakula anashinda chooni kwa elimu ya kisaikolojia nini kifanyike mende asishinde chooni 'Those who are tired of this regime they know how to go about on 28-10-2020'
 
Hao ni wapiga kura wa zamani, wale vichwa vya kuku (wajinga), ambao hawajui wamchague nani mpaka wanaingia kituoni.

Siku hizi wananchi walio wengi wanayo elimu ya uraia, wameshafanya maamuzi mapema kabisa, ukiingia kituoni hata mgombea anayemtaka awe ukurasa wa tatu atatafutwa tu.

Kwahiyo NEC kama walidhani kumweka joni awe wa kwanza kutasaidia wamaulamba wa chuya.
Ivi joni na hashim ipi inatangulia
 
Ivi joni na hashim ipi inatangulia
Mimi naongea km mtaalamu wa ujasiriamali Unapotengena bango linatakiwa liseme nisome mimi nisome mimi pia likwambie ninunue mimi 'read me read me and buy me buy me'
 
Yani mtu anatoka kwao anaenda kupiga kura hajui nani anaenda kumchagua akifika kwenye karatasi ya kura anaweka tiki wale wamwanzoni. Bac kama ndyo hivyo ACT itashinda kwa kishindo.
 
Mi pamoja na mwansaikolojia mwenyewe anaweza akawa ameathilika na Tabia hiyo hivi kwa manyanyaso ya hii miaka mitano nishindwe kumtafa ninaye mtaka ambaye najua atanielewa ninataka nini
 
tunaishukuru system kwa kuileta kwa umma hii karatasi. kazi kwako Lissu kuwaambia Watanzania mahala ilipo picha yako. siku 14 zilizobaki ni nyingi sana zinatosha.
 
Huwa naelewa sana hoja zako mkuu, ila wewe utakua mtu wa "kitengo ".
Kote nakubaliana na Wewe na nakushukuru Mkuu ila hapo unaposema tu kuwa Mimi ni Mtu wa 'Kitengo' umekosea na siyo kweli sipo huko 100%.
 
"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Hakuna mtaalam wa saikolojia hapo. Lakini pia na biblia inasema wa kwanza atakuwa wa mwisho.
 
Hao ni wapiga kura wa zamani, wale vichwa vya kuku (wajinga), ambao hawajui wamchague nani mpaka wanaingia kituoni.

Siku hizi wananchi walio wengi wanayo elimu ya uraia, wameshafanya maamuzi mapema kabisa, ukiingia kituoni hata mgombea anayemtaka awe ukurasa wa tatu atatafutwa tu.

Kwahiyo NEC kama walidhani kumweka joni awe wa kwanza kutasaidia wamaulamba wa chuya.
Kampeni ya kuufahamisha umma Lissu huko wapi katika hiyo karatasi inaweza ikaeleweka nchi nzima ndani ya nusu SAA tuu. Mchawi technology.

Tatizo wanaweza kubadili alafu akala mweleka. Yaani Hii kitu ni hataree
Ninyi wawili wa kwanza kwa taarifa yako, bila kujali nafasi ya mgombea kwenye kura ya karatasi, kwa wagombea wa Urais Lissu amekwisha kupoteza kura za wafuatao, kutokana na kauli zake kwenye kampeni, nitarudi hapa ni kuwakumbusha:
√ waliopata vitambulisho vya Magufuli vya biashara ndogo na familia zao;
√ wanachama hai na waliojiandikisha kupiga kura wa CCM;
√ wananchi ambao si wanachama wa CCM ambao wanatambua mchango wa Magufuli kwa maendeleo ya nchi na wapenda amani (viongozi wa dini wanalisisitiza hili na wamepanga maombi ya siku 3 tena);
√ wafanyakazi wa serikali, na taasisi zake, waliokuwa wakicheleweshewa mishahara yao na waliopandishwa madaraja; na
√ mwisho lakini siyo mwisho kabisa, wafanyakazi wote wa kima cha chini ya laki 3 (300,000/-) waliofutiwa PAYEE, ambao kwa sasa pato la mshahara limeongezeka maradufu.

Utafiti wangu kwa makundi hayo (kila watu 10 niliongea nao kuhusu kura watampa nani na kwa sababu ipi ya msingi) wote (10) walitoa ahadi isiyo na mashaka watampa kura Magufuli kwa kuwa maamuzi yake yamegusa maisha yao moja kwa moja.

Na haya makundi (9/10) pia yameahidi kumpa kura Magufuli kwa sababu ya misimamo yake:
√ wazazi wenye watoto shuleni ambao hawakuwa na uwezo kulipa ada;
√ wazazi na wanachuo ambao walikuwa wanakosa ada;
√ wananchi ambao huduma za jamii (maji na afya) hazikuwepo;
√ wanavijiji waliopata huduma ya umeme;
√ wachimbaji wadogo wa madini kwa ujenzi wa msoko ya kuuzia madini yao;
√ wafanyakazi wa sekta ya utalii kwa kuendelea na biashara wakati nchi nyingi na hasa za jirani kuendelea kufunga mipaka yao;
√ mwisho lakini siyo mwisho kabisa, wafanya biashara, hasa ndogo ndogo, kuendelea na biashara wakati wa korona.
 
Kila wanachokifanya kibaya dhidi ya Lissu, wananchi ndo wanazidi kumpenda.

Hata hili la sasa halitofanikiwa, Watu waangalie alama ya Vidole viwili tu tayari Lissu ataonekana
 
"GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE asikudanganye Mtu 'Kisaikolojia' Mpiga Kura yoyote yule Siku ile ya Kupiga Kura huwa na 'mwamko' mkubwa wa 'Kuwapigia' wale ambao 'Picha' zao ni za Kwanza Kwanza na hasa kwa Namba 1 mpaka 3 tu na kwa 'Mazingira' ya Siku husika wengi Wao huwa hawataki wala hawapendi 'Kujichosha' na 'Kujiboa' kuwapigia wale wa Mwisho Mwisho hasa Namba 12 hadi 14" Mtaalam wa Saikolojia.
Sio kwa LISU
 
Back
Top Bottom