GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #201
Post niliianzisha June 2019 mbona hukuja Kuijibu / Kunijibu mwaka huo huo ili nikuone Wewe Mwanaume kweli na umekuja Kuijibu Kishoga leo hii mwaka 2023?Sasa uone haya na soni juu.
Tatizo mlilokuwa nalo la kufikirika, halipo tena.
Bwawa linajaa!!
Yaani ww ni mtaalam kuliko hata wale wamisri?" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Post niliianzisha June 2019 mbona hukuja Kuijibu / Kunijibu mwaka huo huo ili nikuone Wewe Mwanaume kweli na umekuja Kuijibu Kishoga leo hii mwaka 2023?Yaani ww ni mtaalam kuliko hata wale wamisri?
Nakuelewa.Moja halina tatizo, lipo vizuri/ Tatizo ni kubwa sana kwa maji kujaa haraka.
Kulifanya liwe na tija inabidi zitumike pesa nyingi nyingine kujenga bwawa dogo mbele yake, halafu huku maji yafunguliwe, lile dogo liwe linafuwa umeme.
Mwenyezi Mungu akijaalia maji yakijaa, yatafuwa yote mawili. Yakipunguwa, moja litakuwa linafuwa tu. Tunaweza kwenda kwa hesabu hizo yakawa manne matano. No problem.
Brazil ilikuwa tayari kabisa wafanye hivyo, yule mwehu akawaona waliomtangulia wajinga, akapiga chini dili la Brazila akaleya lake la bwawa moja. Pambaf yule.
Euphrates lina mabwawa ya kufulia umeme 19.
Wamisri wamefuata mahela!Yaani ww ni mtaalam kuliko hata wale wamisri?
Hivi kuna mtaalam tanzania wa kitu chochote au mkuu unaoiga ramli mchana kweupe. Bwawa limejaa maji kabla ya mda uliokadiriwa wewe unakuja na assumption zako za alinacha" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Watu tuko kwenye hili jukwaa tangu 2006 huko na kina FaizaFoxy. Hujajiunga kabla yake. Anyway just for record.Hapa JF nna 12 yrs. Just for the record nimejiunga JF kabla yako. Ujue sasa sijaanza kutumia visimu jana na wakati wa kikwete nilikuwa mtu mzima tu.
Sidhani kama hata hiyo link uliyoweka kaifungua. Nimegundua watoto wengi hapa JF sometimes wanajibu tu post bila kusoma kinachojadiliwa hasa kama mtu ameweka link au attachment for reference ya kinachojadiliwa.Nenda juu post #158 utakuta links za hapa hapaa JF.
Kijana unashindana na watu tulioujadili mjadala huo hapa hapa JF? Siku hizo labda wewe bado unajiharria kwenye nepi.
Hata jina hujuwi kuliandika, hata uki search hupati jibu. Jifunze kutumia JF kwanza, halafu search "Steigler Kikwete".
Mwingine huyuKwenye wengi pia kuna mengi. Kuwalazimisha wote waone kitu kimoja sawasawa na anachokiona yule, ni ndoto.
Watu zaidi ya m50 wafikiri na wakubali mawazo ya mtu mmoja tu, ni ndoto pia. Ndo maana wanatumia nguvu kubwa sana kujaribu kila mmoja wetu aamini kwamba hii ni 6 wakati upande wapili wao wanaona 9.
Kosa kubwa sana la kikatiba mumrundikia madaraka mengi hivyo na kinga yote hiyo mtu mmoja tu kati ya zaidi ya watu m5 na Nchi kwa ujumla.
Hivi huwa hamjisikii aibu?Tatizo ni mtu anaelazimisha kuacha legacy hata zisizofaa na ambazo zitadumu kwa muda mfupi tu.
Mkuu kuna mijitu haina akili lakini inajidai kuwa thinkers.Kwa ujuha uleule Leo anatetea waarabu kuuziwa bandari.
Huyu jamaa ni bichwa nazi
Daah..........
.....True Mkuu sijuwi ni bulumundu gani aliyefanya hiyo EIA upande wa hydrology
Huu UWONGO kwa taifa ya nani .mto Rufiji unapokea maji kutoka mito zaidi ya 20 mikubwa" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Wengi hawajuwi hata kutumia jamii forums.Sidhani kama hata hiyo link uliyoweka kaifungua. Nimegundua watoto wengi hapa JF sometimes wanajibu tu post bila kusoma kinachojadiliwa hasa kama mtu ameweka link au attachment for reference ya kinachojafiliwa.
Huyo mtaalam ni kuadi wa mabeberusafi mtoa hoja na kama serikali yangu inaamini kuwa huu mradi umefanyiwa utafiti wa uhakika kwa nini wasiweke hadharani(kama ipo)ripoti inayohusiana na mazingira yataathiriwa vipi kutokana na mradi huu?
49%ya budget ya kukulisha wewe inatoka kwa hao mabeberu!,kuna njaa Sudan iliyoletwa na vita, Somalia, Chad etc na huko kote ni mabeberu wanaotakiwa wakasaidie!,upumbavu wa juu wa watu weusiHuyo mtaalam ni kuadi wa mabeberu