Sidhani kama hata hiyo link uliyoweka kaifungua. Nimegundua watoto wengi hapa JF sometimes wanajibu tu post bila kusoma kinachojadiliwa hasa kama mtu ameweka link au attachment for reference ya kinachojafiliwa.
Wengi hawajuwi hata kutumia jamii forums.
Kweli kabisa.
Hii Steiglers Gorge ilijadiliwa sana JF zamani. kilichochelewesha kuanza ule mradi wakati wa Kikwete ni sheria za dunia za mazingira, kuna watu walipoona wameukosa mradi ule (naamini ni GE wa USA) na upo tayari unataka kuanza wakachomekea (lobbying) "Selous" iwe ni "UNESCO World Heritage" na "Rufiji Basin" ikalazimishwa kuwa ipo ndani ya Selous.
Ikabidi kablanya kuanza mradi mchakato tuanzie kwa UNESCO, bahati Kikwete akatonywa kuwa abadilishe ramani alifanye bwawa lipo nje ya Selous, mkoa wa Dodoma ambako hakuna Rufiji Basin, UNESCO hawatakuwa na kauli ya kuzuwia. Wakati hui. Mkubwa wa. UNESCO Saudi, na Kikwete tajiri mkubwa wa Kisaudi, Waleed bin Talal ni damu damu. Ikabidi uanze mchakato wa lobbying, ku redesign. Ndiyo ikakubalika waanze na bwawa kubwa moja nje ya Selous la kuhifadhi (reserve) maji, ya kijaa na lenyewe litafuwa umeme, hayakujaa litalisha mengine madogo manne.
Kuingia nguvu kazi na Mapapara yake, akasema jengeni likubwa limoja tu maji yatajaa tu, tutafunga maji kwenda Kwingine kote. Brazil wakagoma ku redesign tena bure. Jamaa si ndiyo akaongea na Wachina, wakakubali lakini deni la kufa mtu.
Wajanja wa mjini wakachomekea Wamisri, Wamisri wakapewa data zote za jamaa alivyo, Wamisri kwa ujanja hawawezekani duniani. Wakakubaliana mkataba wa pesa ndogo sana wa redesign, build and procurement. Wakasema na financing watatafuta wao. Jamaa likaingia kichwa kichwa. Sasa Wamisri wanapiga pesa kidogo kidogo lakini cumulative inakuwa kuliko yangejengwa mabwawa matano. Na hakuna ujanja wa kuwsmageuka au kuwazuwia, maji ukishayavulia nguo.
Hayo ni summarised kwa uchache tu. Lakini kuna mengi sana nyeti sana, nyuma ya Pazia.
Mwacheni mama achape kazi.
Hao Waarabu wanaotukanwa, lakini pesa zao ndiyo zimetuokoa na zinafanya kazi miradi yote aliyoiacha bwana yule. Bila mama ingemfia hiyo miradi. Mama aliikombowa hiyo 2020 wakati bado ni makamo wa Rais. ilishakwama Kabisa hiyo.
Kuna mengi sana nyuma ya pazia (behind the scenes).