Washauri waliookotwa majalalani wanesema inawezekana. Sisi ni akina kumwambia Mfalme yupo uchi?" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Hivi nawewe ni mtaalamu?" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Jinga wewe,walimwambia kuhusu korosho kiko wapiMtaangaika sana Awamu hii. Ila kila kitu lazima kifanikiwe. Iwe jua iwe mvua lazima kila kitu kifanikiwa hakuna litakalo shindikana.
Ni vizuri tukajua maji ya mto rufiji yamepungua kwa kiwango gani, kina cha zamani na sasa kikoje. Mradi Stiglers Gorge una faida kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuwe na uzalendo na miradi inayoanzishwa na serikali yetu." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Kafie mbali mpinga maendeleo. Hata kama maji yanapungua si tutachukua hatua kuhakikisha hayapungui?. Mjinga tu unafikiri hali ya mazingira haijashughulikiwa. Usifikiri wewe ndio una akili au vinginevyo unatumiwa tu." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Hali halisi ya mto Rufiji inaanzia mkoa wa Mbeya kupitia Iringa, Dodoma, Morogoro na Pwani. Mto Ruaha si ule wa miaka ya sitini, daraja la Mkapa lilijengwa kwa kiwango cha upana wa mto Rufiji miaka ya sitini ambapo sasa kiko chini ya nusu. Ujenzi wa bwawa na kukamilika si mwanzo wa matumizi yake kwani bwawa lina muda wa kulijaza mpaka lianze kutumika, je, bwswa hilo litajazwa kwa muda gani, wiki moja, mwezi mmoja hapana labda muujiza utokee." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Kama ni uzalendo basi wananchi wote tubebe barafu toka majumbani mwetu na tukazimwage mlima Kilimanjaro kuuokoa.Ni vizuri tukajua maji ya mto rufiji yamepungua kwa kiwango gani, kina cha zamani na sasa kikoje. Mradi Stiglers Gorge una faida kubwa sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Tuwe na uzalendo na miradi inayoanzishwa na serikali yetu.
Kihansi, Mtera, Kidatu na S. Gorge miradi yote iko kwenye MTO mmoja na Ruaha tayari umekauka wanyama wanakufa na Mtera imejaa tope. Mto wote ukikauka nchi yote haina umeme. Akili ya PhD ya kuweka mayai yote kwenye kapu moja!baada ya mradi kuanza tayari kina kimeanza kupungua, nyie wataalam feki mlikuwa wapi siku zote kusema haya kwani hamjui kama huo mto unatumiwa na binadamu wengine kuwaingizia kipato?? kwanini msingetoa tahadhari mapema ili kuwa alert watumiaji wengine ukiachana na huo mradi?
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
Tayari Magufuli kishakufaHaya ya stiglers baada ya magu kuondoka madarakani yataja zuka ya bandari ya bagamoyo, kila rais huwa anavutia yake akiondoka ajae anaweka wazi mabaya ya mradi husika.
Hii post kwa sasa unaionaje?" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.